Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Off topic kidogo, wajuvi mtujuze, hivi vitabu vinalipiwa ushuru?
Cha msingi angalia hao ebay watatumia shipping COURIER gan kuleta mzigo wako hapa tanzania kati ya DHL,FEDEX,TNT, UPS, EMS etc, na watakupatia tracking number then mzigo wako ukifika kama unadhaman zaidi ya dola tano utafikia custom then utapigiwa cm kwa ajili ya kwenda kulipia ushuru kama ushuru utakuwa chin ya dola mia utalipia kwenye COURIER. Then mzigo wako utapata release na kwenda kuuchukua kwenye any of the shipping COURIER used au unaweza kuletewa hadi ofisin kwako km uko mjini.
Mkuu ukijiunga na ebay utatakiwa kujaza mailing address yako ili ukinunua vitu wanakutumia kwa box yako.
Mie nipo ebay na nanunua kwa mwaka wa tatu sasa na vitu vyote nachukua posta,
kama kuna ishu yoyote huelew ni pm nitakusaidia.
VD huwa unatumia njia gani kufanya malipo? Hupati usumbufu wowote ukienda kuchukua mzigo Posta? Au unafanyiwa home delivery?
Halafu we mwepesi sana wa kutapeliwa, watu wa Afrika ya magharibi (NIGERIA) wakikujua watakuliza vibaya mno, maana ni wajanja mbaya wa uwizi wa mtandaoni.
Kuwa makini unapofanya manunuzi ya mtandaoni, matapeli ni wengi.
Vipi kuhusu TRA? Na hivi kwa sasa unaweza kununua kitu online na kutumia visa/mastercard yako kwenye website ya hapohapo bongo? Ningerecommend Paypal kwa kila mtu anayenunua kitu ebay, hasa kama uko bongo.
Mkuu ukijiunga na ebay utatakiwa kujaza mailing address yako ili ukinunua vitu wanakutumia kwa box yako.
Mie nipo ebay na nanunua kwa mwaka wa tatu sasa na vitu vyote nachukua posta,
kama kuna ishu yoyote huelew ni pm nitakusaidia.
mkuu tuelimishe zaidi so kama box langu la posta ni 1111 ndo hilo nalitumia kama mailing address? ukinunua vitu vya thamani havipotei?
that is right...unajaza box lako
mfano....
Njomba Nchumali
box 0oo06
kibanda maiti
Thanks mkuu, ukiagiza simu au vifaa vya electronic vinafika salama?
nishanunua simu zaidi ya mara 5...zimefika...nimenunua laptops,suits,viatu na hakuna kimepotea....
Bongo ipo website waweza nunua online wana vitu vingi tu, malipo ni akaunti za mitandao ya simu na benki cards, then wanaleta mpaka home.
Then nikuulize mkuu kodi ya vitu unavonunua vipi? huwa naofia kodi na je waweza nambia faida ya kununua vitu nje ya nchi na hasara..ni kwaajili ya kujua tu.