Msaada: Nimempiga kibao sasa kazira hataki kula wala kuongea

Ila Siku nyingine usimuadhibu kwa kumpiga bwana.Hatupigi warembo.Kuna njia nyingi za kumwadabisha mwanamke zisizohusisha mabavu.Tena ukizitumia hizo kabla hata hujamaliza lazima akuzawadie penzi adhimu...
 
Ulimlea hivyo hujui wanawake ni kama watoto? Pole sana inakubidi mbadilishe tabia la sivyo utajuta kuwa na mpenzi type hiyo
 
shukran mkuu kwa mawazo mazuri

Hakuna matata wanawake wanahitaji saikolojia ya juu zaidi kuwatambua+kuwa handle. Akitulia baada ya walau wiki 1 anza kumpa somo kwa sauti ya upole na lugha isiyo ya maudhi namna njema ya kujinasua kutoka ktk lindi la ulevi.Mweleze madhara ya pombe ktk urembo wake,kipato cha familia+afya.slowly she'll come to realize ur intention mzee.
 
daah wewe kaka ni gentleman

unajua kubembeleza mwe

Hohooo!asante dada.Mwanamke ni johari ipasayo kutunzwa,ili ichanue na kuwa shani imeremetayo.Utumizi mzuri wa maneno humtuliza na kumfanya mrembo akusikilize,kiasi huweza kukupa huba safi baada ya mgogoro.
 
kumtimua nitakua naongeza tatizo mkuu ataenda wapi muda huu kwao mbali Bukoba huko
Mmh! Sasa huyo ni Girlfriend ama ni mke? Unafuga gf mwenye malazi ya ulevi akiwa mke si itakua balaa humo ndani? Maana wasichana wengi huwa watiifu b4 marriage ila wakiipata iyo ndoa hufichua tabia halisi
 
yeye hajaninyima chochote, ila i'm worried atakufa na njaa coz toka jana alivokula mchana hajala had sasahivi na hataki kula
Mtu hua anakufa njaa kwa kutokula siku moja?,wewe mwangalie tu kama humuoni,njaa ikimkamata sawa sawa ataamka kukitafuta chakula mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom