chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 12,026
- 34,796
πππ Yoyote utayotaka kunipa mkuu πshingapi..??
πππ Yoyote utayotaka kunipa mkuu πshingapi..??
5000shingapi..??
Lete namba yako please5000
Sema kiasi na ulete namba yakoYoyote utayotaka kunipa mkuu
Namuja DM mkuu ππππSema kiasi na ulete namba yako
Tayari huko DM nimeshajieleza nasubiri upitishe budget tu mkuu π€£π€£π€£Sema kiasi na ulete namba yako
Habari zenu
Jamani hawa madogo wanaomaliza vyuo ni pasua vichwa bora sisi wenye la 7 zetu. Dogo kamaliza masomo kaomba mtaji wa kulangua dagaa na kuuza ila kaenda takriban trip 3 tu mtaji umeisha.
Nisaidieni nimuongeze pesa au niache apambaniye hiyo hiyo?
SAFI SANA KIUTANI TU,ila angalia sehemu zako za kati zikitumbuliwa we leta mrejesho tu hasa ukiwa KE.
Mkuu,Habari zenu
Jamani hawa madogo wanaomaliza vyuo ni pasua vichwa bora sisi wenye la 7 zetu. Dogo kamaliza masomo kaomba mtaji wa kulangua dagaa na kuuza ila kaenda takriban trip 3 tu mtaji umeisha.
Nisaidieni nimuongeze pesa au niache apambaniye hiyo hiyo?
π€£π€£π€£π€£ UmeonaeeeNathibitisha na mimi kama bwana chongchung nimepokea mkwanja mrefu kutoka kwa Mkuu Ushimen tuishi humo ngoja niingie kwa Pisi yangu tukale ya nchi na sisi mijuakali sikumojamoja tufaidi.
ππππ Acha kutuchonganisha na papaa Ushimen broSAFI SANA KIUTANI TU,ila angalia sehemu zako za kati zikitumbuliwa we leta mrejesho tu hasa ukiwa KE.
Ukiwa ME mi simo ushimen atajua la kufanya na wewe
Dagaa anawatoa wapi na kuwapeleka wapi?Mkuu umeandika mawazo mazuri sana, nayeye anapambana kwenye dagaa but naona yeye shida hajapata soko tu. Kama unaweza kunipa neno kwahyo biashara karibu boss
Hakika wewe ni Truth TellerMimi nilianza na elfu 5
Now na mtaji wa 15M.
Inabidi um- Quote mhusika. Sio mimi