Kaa chinii ongea naee muulizee kwanini pesa zime baki hivyoo kisa ni nini.Habari zenu,
Jamani hawa madogo wanaomaliza vyuo ni pasua vichwa bora sisi wenye la 7 zetu. Dogo kamaliza masomo kaomba mtaji wa kulangua dagaa na kuuza ila kaenda takriban trip 3 tu mtaji umeisha.
Nisaidieni nimuongeze pesa au niache apambaniye hiyo hiyo?
SawaMotivational speaker
Tyu ndio nini sasa?Sawa ngoja nimkomaliye aanze tyu
Yaani wewe huwa hupendi watu wapewe msaada na hutaki kutoa msaada, Nilifikiri ni kwa wanaohisiwa ni matapeli tu wa hapa jf kumbe ndio tabia yako ubinafsi na uchoyo, utafika wapi sasa?Mku....
Yaani hadi hapo bado unakuja kuomba nini tukushauri kweli..
Anyway, basi muongeze tena hata zaidi ya uliyo mpa mwanzo..
Wapi nusu heka kwa mtaji huo atatoboa?Aachane na dagaaa akalime tikiti hata nusu hekaaa
Sent using mt4 app
Kweli mkuu attitude.Mkuu biashara ya dagaa sina uzoefu nayo na sijawahi ifanya ila nina ufahamu kidogo, utafiti ni muhimu soko lipo sana kwa watu wa vijijini sababu ndio mboga kuu mara nyingi wanaweza kununua vipimo vikubwa kama stock ya wiki n.k. mjini ni kilo kidogo kidogo.
Na dogo anahitaji kujikomit kidogo, kama ananunua gunia kwa nini asilitembeze mwenyewe au degree inampa kiburi.
Niseme tu ili biashara yoyote ile iende vizuri haitaki "Watu watanionaje" attitude.
Ebu ngoja nicheke....Yaani wewe huwa hupendi watu wapewe msaada na hutaki kutoa msaada, Nilifikiri ni kwa wanaohisiwa ni matapeli tu wa hapa jf kumbe ndio tabia yako ubinafsi na uchoyo, utafika wapi sasa?
Hahahaha nipe basiEbu ngoja nicheke....
Lakini ngoja nisiondike bila kutia neno kwamba, shida yenu vijana ninyi hampendi kuambiwa ukweli...
And, sijawahi kubarikiwa kuwa na roho mbaya chief....
Lakini nahisi kama pengine unastress boss, ebu funguka kama hauna mtonyo wa kula kesho nikupee..
Nikupe nini mkuu..??Hahahaha nipe basi
Ebu ngoja nicheke....
Lakini ngoja nisiondike bila kutia neno kwamba, shida yenu vijana ninyi hampendi kuambiwa ukweli...
And, sijawahi kubarikiwa kuwa na roho mbaya chief....
Lakini nahisi kama pengine unastress boss, ebu funguka kama hauna mtonyo wa kula kesho nikupee..
Kwanza, sijawahi kiwaza hata kutamani ku kufa, na Ebu nishikie adabu kijana, na kupambana kwako isiwe shida kwa wengine.Acha dharau mzee maisha ni kupanda na kushuka jamaa kakwambia ukweli uache roho mbaya.
Wewe mbona juzi kati apa ilikuwa ujinyonge maisha yamekupeleka puta wana jf wakakufariji wakiongozwa na mshana?? Leo uko poa dharau na roho mbaya zinaendelea
Hela ya kula leo 😜😜Nikupe nini mkuu..??
shingapi..??Hela ya kula leo