Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,473
- 5,483
Nianze kwa kusema kwamba ningependa huu uzi uchukuliwe kama simulizi inayonihusu mimi au inayomuhusu mtu mwingine. Ila katika kuielezea nitatumia nafsi ya kwanza.
Mimi sasa sio kijana kwani nina karibia miaka 40. Nino watoto wanane,Sina mke ingawa nimewahi kuishi na wanawake tofauti ambao wamenizalia watoto hao kama mke ni mume na niliwapenda na kuwajali kwa kadiri ya uwezo wangu ila sikuwahi kuwatazama kama wake zangu ili niliwatazama kama wanawake ninaowapenda na hata leo najua kwamba wale ni wanawake ninao wapenda inagwa siwaoni kama wake zangu.
Ninao watoto wanane na ninawapenda a kuwatakia mambo mengi mema na mazuri kwa kadiri ya uwezo wangu lakini siwaoni kama watoto wangu.
Ninapoandika andiko hili ninafikiria kujiua, kutoa uhai kabisa. SIO KWA SABABU YA MATATIZO YANGU INGAWA NINAYO MENGI ila ni kwa sababu I cannot find meaning or purpose in anything or any person. Niliijaribu kuwapenda sana wanawake wote ambao nimewahi kuwa nao nikifikiri kwamba watanipa sababu ila ilishindikana, I am still EMPTY on the inside. Nimejaribu kuwapenda watoto wangu sana lakini bado NAJISIKIA NIKO TUPU ndani.
SIJUI kama ni tatizo la kiimani, kiakili au ni la nini lakini nianchojua ni kwamba nimekuwa na hili TATIZO KWA ZAIDI YA MIAKA 15-20. Hata wakati nikiwa shule sikujali kama nakuwa best performer in the class au na kuwa mwisho. To me I knew I was smart. Nilikuwa na uwezo wa kuwa wa mwisho Darasani-Na nimewahi kuwa wa mwisho na NIlikuwa na uwezo wa kuwa wa kwanza na nimewahi kuwa wa kwanza.
Katika ajira pia nilikuwa tofauti nobody could boss me around, those who tried to boss me around I went after their position.Ukiwa BOSS wangu ilibidi tuwe level moja, If you BOSS me around I take your position fair and square.My last POWER struggle costed me my JOB. Cha kushangaza ni kwamba bado hata nilipokuwa nje ya ajira I waso the same person, My own person with my own principles.
Kwa ufupi Mimi niko DEPRESSED ALL THE TIME. Yaani wakati wote niko katika msongo wa mawazo and I love thinking about depressive issues. Vile vile mimi niko very suicidal kwa zaidi ya miaka 15 nimefikira kujiua, nimefikiria njia bora na painless za kutoa uhai wangu mwenyewe. Sijawahi jaribu kujiua BUT nawazaga sana kuhusu kujiua.
JE HILI ni TATIZO gani. Nimekwepa kutumia wataalamu maana nimegundua kuwa ninapoenda kwa wataalam wa kidini naona na wao wana demons wao wanawasumbua naishia kuanza kuwapa somo mpaka wanahisi labda mimi nawaigizia. Nimeenda kwa madaktari wa akili nao tunafika hatua wanahisi I am faking it because I take over theirpractice.
Baada ya kujikuta hivo nikaamua kujitibia mwenyewe nyumbani.Nikijihis kuchoka Naweza kuja JF na kuandika andiko na Mara nyingi huwa nikimaliza kuandika huwa SIPOST nalisoma tu kisha nalifuta. Au naamua kuzungumza na watu tofauti kuhus complex issues ili tu ubongo wangu ukae kwenye mstari. Nikishindwa kabisa natumia ALCOHOL. Alcholol inanitesa kwa sababu tu inanituliza halafu inanipadisha.
Kama sasa hivi ninvoandika andiko hili nimemaliza kasichana kamoja na SAFARI tatu kubwa na KITOKO kimoja. Nimekaa kitandani tangu saa moja ili nilale sijalala, nimetoka nimetembea KM 5 nikarudi nikaoga bado usingizi hauji.Nimesali na mwisho nimechukua PC nikaandika huu uzi. UNAJUA NINACHOWAZA SASA HIVI? Well I thinking of KILLING MYSELF.
Nimewatafuta watoto niongee nao but wamelala.SIKAI nao kwa sababu ya CONDITION yangu.Nimejitenga na familia yangu kabisa kwa sababu kila mmoja anafikiri mimi ni aina fulani ya kichaa who is unstable na sitaki hali yangu iwaathiri watoto wangu.
Nimepost huu uzi kwa faida ya wengine. Kama unapitia hali kama hii tushauriane ila SIJUI ni nini hasa kinaendelea kwenye ubongo wangu BUT it is FREAKING mad. Ninachukia zaidi kwa sababu to the rest of the world I am this normal and cool guy but on the inside I am an empty hole. WTF
Nasisitiza unaposoma huu uzi una option ya kuassume I am talking about some else or myself or you can relate.Ninahisi wapo watu wengi sana kama mimi around ambao kwenye macho ya jamii wana kila kitu but wao wenyewe wanafeel EMPTY. Je, na wewe ni mmoja wao?How do you deal with that.