Msaada: Nimekuwa na mawazo ya kujiua kwa zaidi ya miaka 15

Nianze kwa kusema kwamba ningependa huu uzi uchukuliwe kama simulizi inayonihusu mimi au inayomuhusu mtu mwingine.Ila katika kuielezea nitatumia nafsi ya kwanza.
Inawezekana ulikimbia Seminari wewe! Hivyo wacha yakutafune! Endelea tu na mpango wako maana ukiendelea kubaki kuna hatari ya kuja kuua watu wengine! Ingia duka la mifugo tafuta kitu inaitwa Xylazine na kufuata maelekezo, kama utatoboa dakika 2 leta mrejesho hapa!
 
Mkuu, Kukimbia Seminari?Kuua watu wengine? Nitafute SUmu kwenye duka la dawa ya mifugo?Very interesting advise.
 
To committee succide is better solutions but don't forget to Left ur girlfriend number.
 
Unamuhitaji Yesu kuliko chochote, taafta kiongozi nzuri wa kiimani akusaidie, wengi wenye Hali kama yako wamepona, pia Anza kuisoma bibilia hasa pale unapokua na msonge wa mawazo au kwenda kwenye kanisa na kukaaa umo hata ukiwa peke ako.
 
Watakuja kukwambia mfate Yesu,wengine watakwambia tafuta pesa,wengine watakwambia vaa barakoa na wengine watasema piga nyungu
 
Dini yako ipi mkuu?

Na kwa kuandika mpaka hivi upo vizuri just a little ukarabat
 
Nianze kwa kusema kwamba ningependa huu uzi uchukuliwe kama simulizi inayonihusu mimi au inayomuhusu mtu mwingine.Ila katika kuielezea nitatumia nafsi ya kwanza...
Hii ni mental health disorder. Fika hospital utibiwe. Otherwise utakufa au utakuja kuleta dhahma kwa watu
 
Mkuu umepatwa na nini? Ni juzi tu ambapo tumewasiliana na tukashauriana mambo kadha wa kadha kuhusu business..tuliongea mengi mnoo.
Will check you out,
 
Nianze kwa kusema kwamba ningependa huu uzi uchukuliwe kama simulizi inayonihusu mimi au inayomuhusu mtu mwingine. Ila katika kuielezea nitatumia nafsi ya kwanza.

Mimi sasa sio kijana kwani nina karibia miaka 40. Nino watoto wanne,Sina mke ingawa nimewahi kuishi na wanawake tofauti ambao wamenizalia watoto hao kama mke ni mume na niliwapenda na kuwajali kwa kadiri ya uwezo wangu ila sikuwahi kuwatazama kama wake zangu ili niliwatazama kama wanawake ninaowapenda na hata leo najua kwamba wale ni wanawake ninao wapenda inagwa siwaoni kama wake zangu.

Ninao watoto wanne na ninawapenda a kuwatakia mambo mengi mema na mazuri kwa kadiri ya uwezo wangu lakini siwaoni kama watoto wangu.

Kwa ufupi mimi ninacondition fulani ambayo sijui inaitwaje ila sijuia kupenda, sijui kuchukia, sijui kufurahi wala sijui kuhuzunika. Sina ujasiri wala sina hofu. Najua hapa hutanielewa. Kwa wale ambao wamebahatika kuishi na mimi wataelewa kitu kimoja. MIMI NI MTU MWEMA BUT WITH A VERY COMPLEX PERSONALITY.

Ninapoandika andiko hili ninafikiria kujiua, kutoa uhai kabisa. SIO KWA SABABU YA MATATIZO YANGU INGAWA NINAYO MENGI ila ni kwa sababu I cannot find meaning or purpose in anything or any person. Niliijaribu kuwapenda sana wanawake wote ambao nimewahi kuwa nao nikifikiri kwamba watanipa sababu ila ilishindikana, I am still EMPTY on the inside. Nimejaribu kuwapenda watoto wangu sana lakini bado NAJISIKIA NIKO TUPU ndani.

SIJUI kama ni tatizo la kiimani, kiakili au ni la nini lakini nianchojua ni kwamba nimekuwa na hili TATIZO KWA ZAIDI YA MIAKA 15-20. Hata wakati nikiwa shule sikujali kama nakuwa best performer in the class au na kuwa mwisho. To me I knew I was smart. Nilikuwa na uwezo wa kuwa wa mwisho Darasani-Na nimewahi kuwa wa mwisho na NIlikuwa na uwezo wa kuwa wa kwanza na nimewahi kuwa wa kwanza.

Katika ajira pia nilikuwa tofauti nobody could boss me around, those who tried to boss me around I went after their position.Ukiwa BOSS wangu ilibidi tuwe level moja, If you BOSS me around I take your position fair and square.My last POWER struggle costed me my JOB.Cha kushangaza ni kwamba bado hata nilipokuwa nje ya ajira I waso the same person, My own person with my own principles.

Kwa ufupi Mimi niko DEPRESSED ALL THE TIME. Yaani wakati wote niko katika msongo wa mawazo and I love thinking about depressive issues. Vile vile mimi niko very suicidal kwa zaidi ya miaka 15 nimefikira kujiua,nimefikiria njia bora na painless za kutoa uhai wangu mwenyewe.Sijawahi jaribu kujiua BUT nawazaga sana kuhusu kujiua

JE HILI ni TATIZO gani.Nimekwepa kutumia wataalamu maana nimegundua kuwa ninapoenda kwa wataalam wa kidini naona na wao wana demons wao wanawasumbua naishia kuanza kuwapa somo mpaka wanahisi labda mimi nawaigizia. Nimeenda kwa madaktari wa akili nao tunafika hatua wanahisi I am faking it because I take over theirpractice.

Baada ya kujikuta hivo nikaamua kujitibia mwenyewe nyumbani.Nikijihis kuchoka Naweza kuja JF na kuandika andiko na Mara nyingi huwa nikimaliza kuandika huwa SIPOST nalisoma tu kisha nalifuta.Au naamua kuzungumza na watu tofauti kuhus complex issues ili tu ubongo wangu ukae kwenye mstari. Nikishindwa kabisa natumia ALCOHOL. Alcholol inanitesa kwa sababu tu inanituliza halafu inanipadisha. Kama sasa hivi ninvoandika andiko hili nimemaliza kasichana kamoja na SAFARI tatu kubwa na KITOKO kimoja.Nimekaa kitandani tangu saa moja ili nilale sijalala, Nimetoka nimetembea KM 5 nikarudi nikaoga bado usingizi hauji.Nimesali na mwisho nimechukua PC nikaandika huu uzi.UNAJUA NINACHOWAZA SASA HIVI? Well I thinking of KILLING MYSELF.

Nimewatafuta watoto niongee nao but wamelala.SIKAI nao kwa sababu ya CONDITION yangu.Nimejitenga na familia yangu kabisa kwa sababu kila mmoja anafikiri mimi ni aina fulani ya kichaa who is unstable na sitaki hali yangu iwaathiri watoto wangu.

Nimepost huu uzi kwa faida ya wengine.Kama unapitia hali kama hii tushauriane ila SIJUI ni nini hasa kinaendelea kwenye ubongo wangu BUT it is FREAKING mad.Ninachukia zaidi kwa sababu to the rest of the world I am this normal and cool guy but on the inside I am an empty hole. WTF

Nasisitiza unaposoma huu uzi una option ya kuassume I am talking about some else or myself or you can relate.Ninahisi wapo watu wengi sana kama mimi around ambao kwenye macho ya jamii wana kila kitu but wao wenyewe wanafeel EMPTY.JE na wewe ni mmoja wao?How do you deal with that.

Pole rafiki,

Uzuri unajitambua.

Unatakiwa upate sessions na psychologist ili ku-modarate uwezo wako binafsi(thinking vs doing vs accepting results/challenges na hali halisi ili ubalansi.

Una jiuliza kupita kiasi, na wakati huo mwitikio wa mwili unapelekea kutokubalansi baadhi ya kemikali zako mwilini. Mzani unalalia upande mmoja.

Wewe utakachokishuhudia ni kutokujielewa na kupoteza maana ya maisha wakati mwingine na unavyovifanya.
 
Nianze kwa kusema kwamba ningependa huu uzi uchukuliwe kama simulizi inayonihusu mimi au inayomuhusu mtu mwingine. Ila katika kuielezea nitatumia nafsi ya kwanza.

Mimi sasa sio kijana kwani nina karibia miaka 40. Nino watoto wanne,Sina mke ingawa nimewahi kuishi na wanawake tofauti ambao wamenizalia watoto hao kama mke ni mume na niliwapenda na kuwajali kwa kadiri ya uwezo wangu ila sikuwahi kuwatazama kama wake zangu ili niliwatazama kama wanawake ninaowapenda na hata leo najua kwamba wale ni wanawake ninao wapenda inagwa siwaoni kama wake zangu.

Ninao watoto wanne na ninawapenda a kuwatakia mambo mengi mema na mazuri kwa kadiri ya uwezo wangu lakini siwaoni kama watoto wangu.

Kwa ufupi mimi ninacondition fulani ambayo sijui inaitwaje ila sijuia kupenda, sijui kuchukia, sijui kufurahi wala sijui kuhuzunika. Sina ujasiri wala sina hofu. Najua hapa hutanielewa. Kwa wale ambao wamebahatika kuishi na mimi wataelewa kitu kimoja. MIMI NI MTU MWEMA BUT WITH A VERY COMPLEX PERSONALITY.

Ninapoandika andiko hili ninafikiria kujiua, kutoa uhai kabisa. SIO KWA SABABU YA MATATIZO YANGU INGAWA NINAYO MENGI ila ni kwa sababu I cannot find meaning or purpose in anything or any person. Niliijaribu kuwapenda sana wanawake wote ambao nimewahi kuwa nao nikifikiri kwamba watanipa sababu ila ilishindikana, I am still EMPTY on the inside. Nimejaribu kuwapenda watoto wangu sana lakini bado NAJISIKIA NIKO TUPU ndani.

SIJUI kama ni tatizo la kiimani, kiakili au ni la nini lakini nianchojua ni kwamba nimekuwa na hili TATIZO KWA ZAIDI YA MIAKA 15-20. Hata wakati nikiwa shule sikujali kama nakuwa best performer in the class au na kuwa mwisho. To me I knew I was smart. Nilikuwa na uwezo wa kuwa wa mwisho Darasani-Na nimewahi kuwa wa mwisho na NIlikuwa na uwezo wa kuwa wa kwanza na nimewahi kuwa wa kwanza.

Katika ajira pia nilikuwa tofauti nobody could boss me around, those who tried to boss me around I went after their position.Ukiwa BOSS wangu ilibidi tuwe level moja, If you BOSS me around I take your position fair and square.My last POWER struggle costed me my JOB.Cha kushangaza ni kwamba bado hata nilipokuwa nje ya ajira I waso the same person, My own person with my own principles.

Kwa ufupi Mimi niko DEPRESSED ALL THE TIME. Yaani wakati wote niko katika msongo wa mawazo and I love thinking about depressive issues. Vile vile mimi niko very suicidal kwa zaidi ya miaka 15 nimefikira kujiua,nimefikiria njia bora na painless za kutoa uhai wangu mwenyewe.Sijawahi jaribu kujiua BUT nawazaga sana kuhusu kujiua

JE HILI ni TATIZO gani.Nimekwepa kutumia wataalamu maana nimegundua kuwa ninapoenda kwa wataalam wa kidini naona na wao wana demons wao wanawasumbua naishia kuanza kuwapa somo mpaka wanahisi labda mimi nawaigizia. Nimeenda kwa madaktari wa akili nao tunafika hatua wanahisi I am faking it because I take over theirpractice.

Baada ya kujikuta hivo nikaamua kujitibia mwenyewe nyumbani.Nikijihis kuchoka Naweza kuja JF na kuandika andiko na Mara nyingi huwa nikimaliza kuandika huwa SIPOST nalisoma tu kisha nalifuta.Au naamua kuzungumza na watu tofauti kuhus complex issues ili tu ubongo wangu ukae kwenye mstari. Nikishindwa kabisa natumia ALCOHOL. Alcholol inanitesa kwa sababu tu inanituliza halafu inanipadisha. Kama sasa hivi ninvoandika andiko hili nimemaliza kasichana kamoja na SAFARI tatu kubwa na KITOKO kimoja.Nimekaa kitandani tangu saa moja ili nilale sijalala, Nimetoka nimetembea KM 5 nikarudi nikaoga bado usingizi hauji.Nimesali na mwisho nimechukua PC nikaandika huu uzi.UNAJUA NINACHOWAZA SASA HIVI? Well I thinking of KILLING MYSELF.

Nimewatafuta watoto niongee nao but wamelala.SIKAI nao kwa sababu ya CONDITION yangu.Nimejitenga na familia yangu kabisa kwa sababu kila mmoja anafikiri mimi ni aina fulani ya kichaa who is unstable na sitaki hali yangu iwaathiri watoto wangu.

Nimepost huu uzi kwa faida ya wengine.Kama unapitia hali kama hii tushauriane ila SIJUI ni nini hasa kinaendelea kwenye ubongo wangu BUT it is FREAKING mad.Ninachukia zaidi kwa sababu to the rest of the world I am this normal and cool guy but on the inside I am an empty hole. WTF

Nasisitiza unaposoma huu uzi una option ya kuassume I amTatzo j
Na-assume kama ifuatavyo mkuu.

Una akili nyingi sana (logical intelligence) kiasi imeingilia uwiano wa akili kwa ujumla (Total intelligence i.e Logical intelligence + emotional intelligence).

Logical intelligence inatusaidia ku-facilitate maisha yetu hapa duniani kwa kutuwezesha kutambua na kuelewa mazingira yetu kwa kuyasoma na kujifunza sheria za kimaumbile na kimfumo. Na hii ndiyo wengi wetu hui-consider kua akili.

Emotional intelligence inatuwezesha ku-interact na mazingira yetu ya ndani (oneself) na ya nje (other people, creatures and structures) kwa ku-connect nayo na kuyapa value. E.g upendo, loyalty, sense of belonging, chuki, hasira n.k

Kikizidi kimoja maana yake kina-overshadow kingine na kuathiri impact yake kwetu. Mfano logical intel ikiwa juu sana kuliko emotional intel kila kitu kisicho na logical meaning kinakua hakina maana, mfano wataalam wa mambo mbalimbali na suala zima la usafi na mpangilio kwao hua sio muhimu sana maana it's all about looks na arrangements tu. Unakua kama mashine au robot, unatekeleza your mission basi, bila mission you are useless.

Emotional intel ikizidi unakua more of an animal kuliko binadamu, unakua sensitive na reactive zaidi kwa emotions kiasi cha kuonekana huna akili. Mfano hasira sana na visirani, upendo kupitiliza au chuki bila sababu mpaka unaonekana mjinga.

Ukiziangalia hapo utaona yeyote katika hao waliozidi aidha logical intel au emotional intel wanaonekana kama zimeruka kidogo au dishi limeyumba (at least wa logical anaweza akapretend kua sawa na jamii lakini asione umuhimu au value yake deep down inside).

Ubongo uko very tricky na una-operate in strange ways. Nakupa task moja ijaribu kwa uadilifu kisha tutatafutana mkuu tujadiliane kwa kina.

Iko hivi, ukimpenda sana mtu au kitu uou end up thinking very positive about that person or thing to the extent hata kukiwa na fault you just excuse them.

Likewise ukimchukia sana mtu au kitu utafikiria mawazo hasi zaidi kumhusu/kukihusu to the extent hata kukiwa na manufaa you end up doubting about it.

Reverse engineering is also possible though it takes time. Ukimfikiria sana mtu in a positive way you'll end up liking/loving them.
Na ukimfikiria sana mtu in a negative way you end up hating/disliking them. Ila huu mchakato wa kuanza kufikiria kwanza kisha hisia zifuate huchukua muda zaidi na huhitaji concentration nzuri (ambayo unayo).

Task nayokupa ni hii mkuu, tuliza kichwa kisha tafuta binti ambaye anakuvutia kiasi (attractive kwako na personality yake uikubali). Study her very well. Kisha jenga nae ukaribu wa kirafiki tu hila kulenga kuanzisha uhusiano au kumpenda. Jaribu ku-connect nae kirafiki kawaida ila kwa ukaribu kuanzia mawasiliano na kuonana na kufanya vitu pamoja ikiwa ni pamoja na kubadilishana mawazo (hii ya kukutana physically ni muhimu kuliko mawasiliano ya simu).

Hakikisha unakua number one priority yake na rafiki yake mkuu. Msamehe anapokosea na umuelekeze vitu unavyopenda wewe.
Na pia hakikisha unamuweka kwenye mawazo yako kama mhusika mkuu kila unapokuwa kwenye mawazo na imagination zako.
Including mawazo yako ya kujiua ukijaribu ku-analyse atakuaje na atafanyaje muda una-commit suicide and after.

Kisha jaribu kuobserve kama atakua na impact yoyote kwako then tuangalie namna ya kujadiliana vyema kuhusu maisha na nini maana na thamani yake.

Na kwanini tukawa created such complex creatures kisha tukawa hapa duniani.

Why are we here?

Is it worth it ukilinganisha na gharama za uundwaji na utendaji wetu kimifumo na kila kitu?

All the best mkuu.

talking about some else or myself or you can relate.Ninahisi wapo watu wengi sana kama mimi around ambao kwenye macho ya jamii wana kila kitu but wao wenyewe wanafeel EMPTY.JE na wewe ni mmoja wao?How do you deal with that.
Tatizo lingine wewe. Ni each and everything I Know
 
Nianze kwa kusema kwamba ningependa huu uzi uchukuliwe kama simulizi inayonihusu mimi au inayomuhusu mtu mwingine. Ila katika kuielezea nitatumia nafsi ya kwanza.

Mimi sasa sio kijana kwani nina karibia miaka 40. Nino watoto wanne,Sina mke ingawa nimewahi kuishi na wanawake tofauti ambao wamenizalia watoto hao kama mke ni mume na niliwapenda na kuwajali kwa kadiri ya uwezo wangu ila sikuwahi kuwatazama kama wake zangu ili niliwatazama kama wanawake ninaowapenda na hata leo najua kwamba wale ni wanawake ninao wapenda inagwa siwaoni kama wake zangu.

Ninao watoto wanne na ninawapenda a kuwatakia mambo mengi mema na mazuri kwa kadiri ya uwezo wangu lakini siwaoni kama watoto wangu.

Kwa ufupi mimi ninacondition fulani ambayo sijui inaitwaje ila sijuia kupenda, sijui kuchukia, sijui kufurahi wala sijui kuhuzunika. Sina ujasiri wala sina hofu. Najua hapa hutanielewa. Kwa wale ambao wamebahatika kuishi na mimi wataelewa kitu kimoja. MIMI NI MTU MWEMA BUT WITH A VERY COMPLEX PERSONALITY.

Ninapoandika andiko hili ninafikiria kujiua, kutoa uhai kabisa. SIO KWA SABABU YA MATATIZO YANGU INGAWA NINAYO MENGI ila ni kwa sababu I cannot find meaning or purpose in anything or any person. Niliijaribu kuwapenda sana wanawake wote ambao nimewahi kuwa nao nikifikiri kwamba watanipa sababu ila ilishindikana, I am still EMPTY on the inside. Nimejaribu kuwapenda watoto wangu sana lakini bado NAJISIKIA NIKO TUPU ndani.

SIJUI kama ni tatizo la kiimani, kiakili au ni la nini lakini nianchojua ni kwamba nimekuwa na hili TATIZO KWA ZAIDI YA MIAKA 15-20. Hata wakati nikiwa shule sikujali kama nakuwa best performer in the class au na kuwa mwisho. To me I knew I was smart. Nilikuwa na uwezo wa kuwa wa mwisho Darasani-Na nimewahi kuwa wa mwisho na NIlikuwa na uwezo wa kuwa wa kwanza na nimewahi kuwa wa kwanza.

Katika ajira pia nilikuwa tofauti nobody could boss me around, those who tried to boss me around I went after their position.Ukiwa BOSS wangu ilibidi tuwe level moja, If you BOSS me around I take your position fair and square.My last POWER struggle costed me my JOB.Cha kushangaza ni kwamba bado hata nilipokuwa nje ya ajira I waso the same person, My own person with my own principles.

Kwa ufupi Mimi niko DEPRESSED ALL THE TIME. Yaani wakati wote niko katika msongo wa mawazo and I love thinking about depressive issues. Vile vile mimi niko very suicidal kwa zaidi ya miaka 15 nimefikira kujiua,nimefikiria njia bora na painless za kutoa uhai wangu mwenyewe.Sijawahi jaribu kujiua BUT nawazaga sana kuhusu kujiua

JE HILI ni TATIZO gani.Nimekwepa kutumia wataalamu maana nimegundua kuwa ninapoenda kwa wataalam wa kidini naona na wao wana demons wao wanawasumbua naishia kuanza kuwapa somo mpaka wanahisi labda mimi nawaigizia. Nimeenda kwa madaktari wa akili nao tunafika hatua wanahisi I am faking it because I take over theirpractice.

Baada ya kujikuta hivo nikaamua kujitibia mwenyewe nyumbani.Nikijihis kuchoka Naweza kuja JF na kuandika andiko na Mara nyingi huwa nikimaliza kuandika huwa SIPOST nalisoma tu kisha nalifuta.Au naamua kuzungumza na watu tofauti kuhus complex issues ili tu ubongo wangu ukae kwenye mstari. Nikishindwa kabisa natumia ALCOHOL. Alcholol inanitesa kwa sababu tu inanituliza halafu inanipadisha. Kama sasa hivi ninvoandika andiko hili nimemaliza kasichana kamoja na SAFARI tatu kubwa na KITOKO kimoja.Nimekaa kitandani tangu saa moja ili nilale sijalala, Nimetoka nimetembea KM 5 nikarudi nikaoga bado usingizi hauji.Nimesali na mwisho nimechukua PC nikaandika huu uzi.UNAJUA NINACHOWAZA SASA HIVI? Well I thinking of KILLING MYSELF.

Nimewatafuta watoto niongee nao but wamelala.SIKAI nao kwa sababu ya CONDITION yangu.Nimejitenga na familia yangu kabisa kwa sababu kila mmoja anafikiri mimi ni aina fulani ya kichaa who is unstable na sitaki hali yangu iwaathiri watoto wangu.

Nimepost huu uzi kwa faida ya wengine.Kama unapitia hali kama hii tushauriane ila SIJUI ni nini hasa kinaendelea kwenye ubongo wangu BUT it is FREAKING mad.Ninachukia zaidi kwa sababu to the rest of the world I am this normal and cool guy but on the inside I am an empty hole. WTF

Nasisitiza unaposoma huu uzi una option ya kuassume I am talking about some else or myself or you can relate.Ninahisi wapo watu wengi sana kama mimi around ambao kwenye macho ya jamii wana kila kitu but wao wenyewe wanafeel EMPTY.JE na wewe ni mmoja wao?How do you deal with that.

Unapitia hali kama yangu..

Huwa nnachofanya...

Nachukua mwanamke ambae najua anaweza akanifanya nifurahi naenda kula nae starehe mahali..

Nikiamua kufanya starehe nafanya starehe zote yani sibakishi..ntakula beer,ntavuta bangi,ntaskiliza music,ntatake long drive for fun,ntasex ntalala..ingawa nikiamka kesho yake huwa narudi katika hali hiyo hiyo ingawa naamini ni bora mara moja moja kuliko kutofanya kabisa ili kulinda uchumi..

Huwa najipa moyo kua siku nikipata uchumi mkubwa sitokua na hali hii hivyo najikita sana katika kutafuta pesa na babati nzuri napata..

Nna kampan ya rafiki yangu ambae nikikaa nae huwa siku yangu inaenda poa sana sbb ya ucheshi wake ingawa mara nyingi hatuonani sbb ya maisha yangu kuchagua siku gani niwe na kampan hii na mara nyingi hua nachagua maisha ya upweke..

Note: Nilivyojifunza mwisho wa haya matatizo ya kisaikolojia ni wewe kua na uchumi mkubwa..
 
K
Ume suffer emotional neglect in your childhood,ulikua unapewa kila kitu na wazazi wako ila hukupewa attention ukilia,ukiwa na furaha/huzuni haikuwavuta wakuangalie ..hujui ku express your emotions as a result yaani umekua na flat personality hucheki wala hununi ......kukutibu itakua ngumu sababu inaelekea you are happy with it
Kwenye haya mambo upo vizuri , wewe ni pyschiarist au psychologist?
 
Unapitia hali kama yangu..

Huwa nnachofanya...

Nachukua mwanamke ambae najua anaweza akanifanya nifurahi naenda kula nae starehe mahali..

Nikiamua kufanya starehe nafanya starehe zote yani sibakishi..ntakula beer,ntavuta bangi,ntaskiliza music,ntatake long drive for fun,ntasex ntalala..ingawa nikiamka kesho yake huwa narudi katika hali hiyo hiyo ingawa naamini ni bora mara moja moja kuliko kutofanya kabisa ili kulinda uchumi..

Huwa najipa moyo kua siku nikipata uchumi mkubwa sitokua na hali hii hivyo najikita sana katika kutafuta pesa na babati nzuri napata..

Nna kampan ya rafiki yangu ambae nikikaa nae huwa siku yangu inaenda poa sana sbb ya ucheshi wake ingawa mara nyingi hatuonani sbb ya maisha yangu kuchagua siku gani niwe na kampan hii na mara nyingi hua nachagua maisha ya upweke..

Note: Nilivyojifunza mwisho wa haya matatizo ya kisaikolojia ni wewe kua na uchumi mkubwa..
Mimi Pia nimekuwa nikifikiri kwamba nikishakuwa na uchumi mkubwa basi nitayamaliza ila kilichotokea ata one point in my life ilijikuta nina develop aina tofauti ya matatizo.But huwa najaribu some of you remedies for temporary benefits ingawa ngoma huwa inaendelea kupiga after some times
 
Kitu cha kwanza kufanya ni kukubali kuwa kuna watu wanaweza kukushauri na uwape muda wa kuwasikiliza.

Inaonekana unaposhauriwa na wewe unataka kumshauri mshauri.

Tumeumbwa na masikio mawili macho mawili mdomo mmoja na meno 32.....

Hicho kilichoumbwa kimoja kipe less priority unaposhauriwa jipe muda kusikiliza, kuona/kuangalia/kutazama, na kutabasamu zaidi mpaka meno yote yaonekane......

Itoe nafsi yako kupenda usichore wa kwako angani tambua binadamu tuna madhaifu na tunatakiwa kujifunza kuishi pamoja. Hakuna mkamilifu usijione mkamilifu kwa kujua kila kitu. Usitafute short solution zinacost....

Let me share 1 experience of mine....
Mimi nina watoto sikuwa naishi nao kwa muda, nimeishi mwenyewe kwa muda mrefu, nikaja kuanza kuishi nao... Mwanzoni nilikua nawaona wasumbufu na watundu sana, nikawa nawaadhibu, ila baadae nikafikiria hawa ni watoto ndio wanajifunza wanahitaji upendo na kusikilizwa pia kuelekezwa. As time goes on nikawa nawaelewa na kuzidi kuwapenda siwaadhibu tena mpaka inapotokea ishu kubwa lakini mengine nawaelekeza.... Nimejipa muda wa kuwaelewa na pia kujifunza kutoka kwao, tunajifunza kutoka kwa kila rika muhimu kujipa muda wa kujifunza na kusikiliza.

Maisha haya yana mambo mengi. Mazingira/ Shida tunazopitia zinatufanya tujengwe kwa namna za pekee sana.
 
Nianze kwa kusema kwamba ningependa huu uzi uchukuliwe kama simulizi inayonihusu mimi au inayomuhusu mtu mwingine. Ila katika kuielezea nitatumia nafsi ya kwanza.

Mimi sasa sio kijana kwani nina karibia miaka 40. Nino watoto wanne,Sina mke ingawa nimewahi kuishi na wanawake tofauti ambao wamenizalia watoto hao kama mke ni mume na niliwapenda na kuwajali kwa kadiri ya uwezo wangu ila sikuwahi kuwatazama kama wake zangu ili niliwatazama kama wanawake ninaowapenda na hata leo najua kwamba wale ni wanawake ninao wapenda inagwa siwaoni kama wake zangu.

Ninao watoto wanne na ninawapenda a kuwatakia mambo mengi mema na mazuri kwa kadiri ya uwezo wangu lakini siwaoni kama watoto wangu.

Kwa ufupi mimi ninacondition fulani ambayo sijui inaitwaje ila sijuia kupenda, sijui kuchukia, sijui kufurahi wala sijui kuhuzunika. Sina ujasiri wala sina hofu. Najua hapa hutanielewa. Kwa wale ambao wamebahatika kuishi na mimi wataelewa kitu kimoja. MIMI NI MTU MWEMA BUT WITH A VERY COMPLEX PERSONALITY.

Ninapoandika andiko hili ninafikiria kujiua, kutoa uhai kabisa. SIO KWA SABABU YA MATATIZO YANGU INGAWA NINAYO MENGI ila ni kwa sababu I cannot find meaning or purpose in anything or any person. Niliijaribu kuwapenda sana wanawake wote ambao nimewahi kuwa nao nikifikiri kwamba watanipa sababu ila ilishindikana, I am still EMPTY on the inside. Nimejaribu kuwapenda watoto wangu sana lakini bado NAJISIKIA NIKO TUPU ndani.

SIJUI kama ni tatizo la kiimani, kiakili au ni la nini lakini nianchojua ni kwamba nimekuwa na hili TATIZO KWA ZAIDI YA MIAKA 15-20. Hata wakati nikiwa shule sikujali kama nakuwa best performer in the class au na kuwa mwisho. To me I knew I was smart. Nilikuwa na uwezo wa kuwa wa mwisho Darasani-Na nimewahi kuwa wa mwisho na NIlikuwa na uwezo wa kuwa wa kwanza na nimewahi kuwa wa kwanza.

Katika ajira pia nilikuwa tofauti nobody could boss me around, those who tried to boss me around I went after their position.Ukiwa BOSS wangu ilibidi tuwe level moja, If you BOSS me around I take your position fair and square.My last POWER struggle costed me my JOB.Cha kushangaza ni kwamba bado hata nilipokuwa nje ya ajira I waso the same person, My own person with my own principles.

Kwa ufupi Mimi niko DEPRESSED ALL THE TIME. Yaani wakati wote niko katika msongo wa mawazo and I love thinking about depressive issues. Vile vile mimi niko very suicidal kwa zaidi ya miaka 15 nimefikira kujiua,nimefikiria njia bora na painless za kutoa uhai wangu mwenyewe.Sijawahi jaribu kujiua BUT nawazaga sana kuhusu kujiua

JE HILI ni TATIZO gani.Nimekwepa kutumia wataalamu maana nimegundua kuwa ninapoenda kwa wataalam wa kidini naona na wao wana demons wao wanawasumbua naishia kuanza kuwapa somo mpaka wanahisi labda mimi nawaigizia. Nimeenda kwa madaktari wa akili nao tunafika hatua wanahisi I am faking it because I take over theirpractice.

Baada ya kujikuta hivo nikaamua kujitibia mwenyewe nyumbani.Nikijihis kuchoka Naweza kuja JF na kuandika andiko na Mara nyingi huwa nikimaliza kuandika huwa SIPOST nalisoma tu kisha nalifuta.Au naamua kuzungumza na watu tofauti kuhus complex issues ili tu ubongo wangu ukae kwenye mstari. Nikishindwa kabisa natumia ALCOHOL. Alcholol inanitesa kwa sababu tu inanituliza halafu inanipadisha. Kama sasa hivi ninvoandika andiko hili nimemaliza kasichana kamoja na SAFARI tatu kubwa na KITOKO kimoja.Nimekaa kitandani tangu saa moja ili nilale sijalala, Nimetoka nimetembea KM 5 nikarudi nikaoga bado usingizi hauji.Nimesali na mwisho nimechukua PC nikaandika huu uzi.UNAJUA NINACHOWAZA SASA HIVI? Well I thinking of KILLING MYSELF.

Nimewatafuta watoto niongee nao but wamelala.SIKAI nao kwa sababu ya CONDITION yangu.Nimejitenga na familia yangu kabisa kwa sababu kila mmoja anafikiri mimi ni aina fulani ya kichaa who is unstable na sitaki hali yangu iwaathiri watoto wangu.

Nimepost huu uzi kwa faida ya wengine.Kama unapitia hali kama hii tushauriane ila SIJUI ni nini hasa kinaendelea kwenye ubongo wangu BUT it is FREAKING mad.Ninachukia zaidi kwa sababu to the rest of the world I am this normal and cool guy but on the inside I am an empty hole. WTF

Nasisitiza unaposoma huu uzi una option ya kuassume I am talking about some else or myself or you can relate.Ninahisi wapo watu wengi sana kama mimi around ambao kwenye macho ya jamii wana kila kitu but wao wenyewe wanafeel EMPTY.JE na wewe ni mmoja wao?How do you deal with that.
Loneliness, unapenda kuwa lonely, jiunge na gymnasium ili ukajumuike na watu tofauti huku ukifanya mazoezi ya mwili na akili. Tafuta social clubs nyingine ambazo ziko active zisizozungumzia watu ili ziweze ku- occupy ubongo wako kwa kubadilishana mawazo, usiende beach, bar na nightclub kwani ni sehemu zisizokuwa na jipya kila siku, yaani stori ni zilezile na zinazungumzia watu.
Hauhitaji mtu akuweke mkao wa darasa na kuanza kukuambia fanyahivi usifanye vile, unahitaji uhuru wako.
 
Pesa ndo tatizo mkuu..
Hauna ukichaa wowote ww mzima kabisa, hiyo hali ya kuji feel inferiority ni kwamba tu pesa hakuna..
 
Mkuu,pesa ni tatizo kwa kila mtu na sijsikii wala kujiona inferior.Ila naelewa Sometime ukiwa na Pesa baadhi ya vitu vidogo unatumia pesa uvituliza
 
Back
Top Bottom