gashambala uwezo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 485
- 67
Salaamu wana jamvi,
Mimi ni mama ninaishi na mme wangu lakini pia mimi ni mwanachuo wa chuo fulani, sasa katika mahusiono yetu tumekuwa tukitumia kalenda kuzuia mimba.
Sasa mwezi uliopita nilipata hedhi yangu tar 14/5 na hii ni tarehe 16/6 si japata hedhi yangu, na kabla nilikuwa sifikii siku 32. lakini sasa nikihesabu hapo nimefika sk 34, kumbuka ninahitaji namna ya kurudisha hedhi yangu au vinginevyo.