MSAADA: Nimeitwa kazini huku nikiwa najiendeleza kusoma

sheddysm

Member
Jul 10, 2015
14
1
Niliomba ajira kwa ngazi ya cheti na nimepata.
Naombeni Msaada nifanyeje wakati kwa sasa niliingia chuo na kujiendeleza kwa ngazi ya Diploma ya Maabara na mwezi ujao natarajia kumaliza.
 
Niliomba ajira kwa ngazi ya cheti na nimepata.
Naombeni Msaada nifanyeje wakati kwa sasa niliingia chuo na kujiendeleza kwa ngazi ya Diploma ya Maabara na mwezi ujao natarajia kumaliza.
Nenda kafanye kazi yaani wewe si bado mwezi mmoja umalize shule au waambie wajue halafu sikiliza watasemaje au wajibika kwenye kazi maana kutafuta kazi mpaka kuipata kazi inachukua muda au wewe mwenyewe unachukua hatua gani!
 
Ripoti kazin mwambie mkuu wako wa idara rudi umalizie mitihani ukaendelee na kazi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom