Msaada: Nimeibiwa simu

Superleta

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
466
538
Nimeibiwa simu hapa nahisi kuchanganyikiwa, natmia kisim kizito kuandika hapa inaskrach balaa nisameheni kwa mwandiko,nahisi nimechanganyikiwa nifanyeje niiipate tena simu yangu?

Nimeibiwa simu wakati ambao nimefulia maana cm yng ndo ilikua km jembe kwangu ndo ilikua inanilisha na kuniweka mjini acha 2 nifanyeje nipate simu yang iliyoibiwa?
 
Mwenzenu nimeibiwa simu hata sielewi hapa natumia kisimu flani kizito kuandika.

Mnisamehe kwa mwandiko nifanyeje niweze tena kuipata simu yangu maana nimechanganyikiwa.

Nimeibiwa simu wakati ambao sina hata mia ndani maana simu yangu ndio ilikua inaniweka mjini hata sielewi ngoja nimwachie Mungu tu jamani.
 
Mwenzenu nimeibiwa cm hata sielewi hapa natumia kicm flan kizito kuandika mnisamehe kwa mwandiko nifanyeje niweze tena kuipata cm yangu maana nimechanganyikiwa nimeibiwa cm wakt ambao sina hata mia ndani maana simu yangu ndo ilikua inaniweka mjini hata sielewi ngoja nimwachie mungu tu jmn
Kweli bhana muachie Mungu aendelee kuperuzi.
 
Pole sana kwa matatizo yaliyokusibu,
Ungeelezea mazingira ya hiyo simu ilivyoibwa ingependeza.
 
Nilijua Ni typing error, umeibiwa CCM, kumbe ni SIMU. Tuna Safari ndefu see kuufikia uchumi wa kati.
 
Pole sana mkuu. Wahi kuzifunga/kufunga sim cards/card maana akiitumia vibaya namba yako utajuta,yalinikuta wiki mbili zilizopita ni hatari mkuu
 
Nimeibiwa cm hapa nahis kuchanganyikiwa, natmia kisim kizito kuandika hapa inaskrach balaa nisameheni kwa mwandiko,nahisi nimechanganyikiwa nifanyeje niiipate tena cm yangu?nimeibiwa cm wakat ambao nimefulia maana cm yng ndo ilikua km jembe kwangu ndo ilikua inanilisha na kuniweka mjini acha 2 nifanyeje nipate cm yang ilioibiwa?
Hvo vtu vinapatikana bora wew upo hai usichanganyikiwe kama una imei nenda police
 
Kwani jf ni kwa ajili ya nini? Msaidieni mawazo jinsi ya kuirejesha simu yake, na pia kama haiwezekani just tell him.

Jf kuna watu wenye uelewa mkubwa wa kutrace simu jamani.

Mnatuogopesha mjuwe. Masulupwete
 
Kwani jf ni kwa ajili ya nini? Msaidieni mawazo jinsi ya kuirejesha simu yake, na pia kama haiwezekani just tell him.

Jf kuna watu wenye uelewa mkubwa wa kutrace simu jamani.

Mnatuogopesha mjuwe.
Tatizo hukuona alichopost mwanzoni.
 
Pole Sana Kwa Changamoto Ama Kadhia Ya Kuibiwa Simu
Nitajie Aina Gani Ya Smartphone, Vp Taarifa Umetoa Police Umepewa Report Book Tayari

Kama Bado Fanya Hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom