Msaada, nimeibiwa simu, je naweza kuipata kwa kutumia serial number?

diet

Member
Aug 1, 2012
56
8
JAMANI NAOMBA MSAADA. NIMEIBIWA CM AINA YA SUMSUNG GALAXY S-3. sasa nauliza km kuna sehemu naweza kwenda wakanisaidia kuitafuta kupitia serial number
 
Kwa hapa kwetu ni ngumu ingawa inawezekana tatizo ni ushirikiano mdogo unaotolewa na makampuni ya simu na polisi
Mie niliibiwa mwaka jana pamoja na kuwa na mobile track ambayo ilikuwa ikiniletea namba mara mtumiaji anapobadili line sikupata ushirikiano kabisa mpaka nikagive up
Anyways pole
 
Kwa hapa bongo hakuna hiyo kitu ujue ushaumia mkuu kanunue nyingine tu basi....
 
Ungekuwa unatumia nq mobile easy finder. Inampiga picha mtu akikosea ku-unlock na kutuma kwenye email yako. Kama ni jirani yako utamjua.
 
kama hiyo simu imekuwa locked na mtandao flani hapo bongo basi ukiwapa serial number wanaweza kuiblock asiweze kuitumia popote duniani ila kama umenunua mwenye wako tu itakuwa goodbye...sorry.
 
Kwa hapa kwetu ni ngumu ingawa inawezekana tatizo ni ushirikiano mdogo unaotolewa na makampuni ya simu na polisi
Mie niliibiwa mwaka jana pamoja na kuwa na mobile track ambayo ilikuwa ikiniletea namba mara mtumiaji anapobadili line sikupata ushirikiano kabisa mpaka nikagive up
Anyways pole
Unatumia mtandao gani? Kama ni Tigo, hiyo huduma ipo lakini sikushauri kuifuata hiyo huduma unless kama simu yako ni ya hela nyingi!!!

Utaratibu uliopo ni kwamba unaenda pale Tigo....Head Office au Ghana Br.(siku hizi Palm House....pale kuna jamaa atakuunganisha na wahusika). Issue ni kwamba, pale Tigo penyewe, inabidi ulipie hiyo huduma coz' sio kazi yao kutafuta simu zilizoibiwa....ukitaka wai-block, sawa! UKishalipa Tigo, itabidi tena ugharamie gharama za askari! Wanachofanya Tigo ni kufanya tracking of possible location lakini hawana mandate ya kukamata mtu for whatever reason; hiyo ni kazi ya polisi! Sasa kama ujuavyo polisi wetu, watakuambia gari haina mafuta, kwahiyo itabidi ununulie mafuta na kama nearest police station haina gari, hapo maana yake ni kwamba itabidi ukodi tax unless wawe fair enough wakubali boda boda! And what

Changamoto nyingine ni kwamba tracking inayofanyika inaonesha just a possible perimeter (not spot) of where the subscriber is!! So ukichanganya yote haya, kama wewe ni Muislamu, just say "Inshallah, nitapata nyingine", sifahamu wakristo na wengineo wanasemaje wanapokutana na hali kama hiyo!
 
Kama ni mimi, naachana na kuitafuta hiyo simu. Maana gharama ya kuitafuta haitakawia kubreki iveni na gharama ya simu.
 
Ungekuwa unatumia nq mobile easy finder. Inampiga picha mtu akikosea ku-unlock na kutuma kwenye email yako. Kama ni jirani yako utamjua.

Mkuu msaada tafadhali unafanyaje? Kuhusu sim zinazo weza kukubali nq au ni sim zote? Zinasapoti hiyo kitu
 
mkuu naamni ukienda kituo cha polisi chochote central watakusaidia kuipata.kwa hili nina imani kwa jeshi lapolisi wanaweza kukusaidia we just nenda kituo chochote cha central waambie watakusaidia
 
hapo itabidi huwe una kazi!kwani mlolongo wake ni mrefu sana,uende polisi ndio waandike barua kwenda kwenye kampuni ya simu kuomba print out,nayo si chini ya miezi 4!simu kama hiyo unge install ant thief application unaipata ki ulaini,mi niliibiwa simu yangu mbagara,ila ckuwa na wasiwasi ki vile,kwani nilijua nitaipata tu,na kweli ndani ya wiki moja tu niliikamatia tegeta!hiyo software ilinisaidia sana.
 
Naomba ufafanuzi, je hiyo anti-theft inafanya kazi kama Netquin ya Symbion? Na je uliipataje?
 
hapo itabidi huwe una kazi!kwani mlolongo wake ni mrefu sana,uende polisi ndio waandike barua kwenda kwenye kampuni ya simu kuomba print out,nayo si chini ya miezi 4!simu kama hiyo unge install ant thief application unaipata ki ulaini,mi niliibiwa simu yangu mbagara,ila ckuwa na wasiwasi ki vile,kwani nilijua nitaipata tu,na kweli ndani ya wiki moja tu niliikamatia tegeta!hiyo software ilinisaidia sana.

Naomba ufafanuzi, je hiyo anti-theft inafanya kazi kama Netquin ya Symbion? Na je uliipataje hiyo simu?
 
mm simu yangu nime-install netqin antivirus ambayo ina prog ya anti lost na kuna wakati nillibiwa mtaa wa Congo na baada ya masaa 24 nilifanikiwa kuipata simu. Ni vzr ukiwa smartphone kuinstall prog kama hizi zinasaidia but vinginevyo kuipata simu ni ngumu sana once ukiibiwa au kuipoteza..
 
Back
Top Bottom