mludego
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,395
- 3,197
Nenda airport uwanja wa ndege, mavi kunukamsaada jamani kwa Mwenye taarifa
Nenda airport uwanja wa ndege, mavi kunukamsaada jamani kwa Mwenye taarifa
Ulipaki airport ya uwanja ndege eh?????Wanajukwaa nimechanganyikiwa. Ndege yangu aina ya Dash 8 imepotea katika mazingira ya kutatanisha, niliipaki Airport ya Uwanja wa ndege.
Mwenye taarifa anipm tafadhali.