Kuna simu nilinunu aliexpress tarehe 6 mwezi huu nikalipia na shipping kabisa $53 DHL wakisema itafika kuanzia siku 4-8. Baada ya siku kama tano nikawasiliana na seller akaniambia ametuma mzigo kupitia Netherland Air post mail sasa mpaka leo hii kimya hata nikimtumia ujumbe tena hajibu msaada wenu jamani sijui ndio nimeliwa
View attachment 159679
View attachment 159680
View attachment 159679
View attachment 159680