Msaada nimeibiwa aliexpress

Ngalewa

Member
Jun 24, 2012
97
10
Kuna simu nilinunu aliexpress tarehe 6 mwezi huu nikalipia na shipping kabisa $53 DHL wakisema itafika kuanzia siku 4-8. Baada ya siku kama tano nikawasiliana na seller akaniambia ametuma mzigo kupitia Netherland Air post mail sasa mpaka leo hii kimya hata nikimtumia ujumbe tena hajibu msaada wenu jamani sijui ndio nimeliwa

View attachment 159679
View attachment 159680
 
Usije ukawa umemit na Wanaija ?ila vuta subira

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kuna simu nilinunu aliexpress tarehe 6 mwezi huu nikalipia na shipping kabisa $53 DHL wakisema itafika kuanzia siku 4-8. Baada ya siku kama tano nikawasiliana na seller akaniambia ametuma mzigo kupitia Netherland Air post mail sasa mpaka leo hii kimya hata nikimtumia ujumbe tena hajibu msaada wenu jamani sijui ndio nimeliwa

View attachment 159679
View attachment 159680

-> Je ulimlipa reseller moja kwa moja kupitia kadi yako au yalipitia sehemu nyengine mfano Paypal.?
 
hapana sijamlipa seller mojakwamoja nimelipia ndani ya site yao wanaita Alipay ila bado hawajampa seller pesa mpaka niconfirm mzigo nimepokea.
 
The best place to buy items online angalau ebay na amazon wanaunafuu
Huko kwingine usanii mwingi, lakini haimaanishi kila utacho nunua unaibiwa
vuta subira nadhani kuna muda ukifika fungua dai hujapokea mzigo na Alipay watakurudishia pesa yako
 
hapana sijamlipa seller mojakwamoja nimelipia ndani ya site yao wanaita Alipay ila bado hawajampa seller pesa mpaka niconfirm mzigo nimepokea.

Sasa wewe wasiwasi wako wa nini? wasiliana na Alipay au Escrow kama wanavyo jiita. pesa yako watakurudishia. na kama una tracking number kwa nini usi track huko DHL?
 
Kuna simu nilinunu aliexpress tarehe 6 mwezi huu nikalipia na shipping kabisa $53 DHL wakisema itafika kuanzia siku 4-8. Baada ya siku kama tano nikawasiliana na seller akaniambia ametuma mzigo kupitia Netherland Air post mail sasa mpaka leo hii kimya hata nikimtumia ujumbe tena hajibu msaada wenu jamani sijui ndio nimeliwa

View attachment 159679
View attachment 159680

hao ------- sana mimi walinikomba kilo sita yangu na mzigo sikupata na wakadai wata refund hela ila nika kazana na kitengo cha online purchase pale CRDB Azikiwe wakasema hiyo hela haijawa refunded...
Buy in Aliexpress au Alibaba at your own risk...

PayPal is the only way to make secure payment wengine wezi wakubwa tena wanauzanvitu bei nzuri ukivutwa tu wanakubamiza
 
Msaada kama kuna mdau anaye fahamu kutrack mzigo umetumwa kupitia Netherland Post Air Mail tarack number waliyonipa ni RS115140530NL.
 
Msaada kama kuna mdau anaye fahamu kutrack mzigo umetumwa kupitia Netherland Post Air Mail tarack number waliyonipa ni RS115140530NL.
mzigo wako walituma lini? maana mpaka sasa ipo pending hakuna tracking information yoyote...

29deo8h.png
 
mkuu Angalia na feedback ya muuzaji....isije ikawa Ana feedback ndogo ....mizigo haiwafikii wahusika..nalo ndo tatzo
 
Dah Mungu kaniepusha mimi, huenda ningepigwa jiwe sita hivi hviv, bora nikomae tu na Ebay niliyoizoea, huku kwingine maumivu
 
Back
Top Bottom