Msaada: Nimehitimu form four na nimepata alama hizi je, kuna uwezekano wa kuchaguliwa form five ya kiaerikali,private ama chuo?

Sasa kama ni hvo, mbona unapondea mtu kuanza na level ya veta, au hujui hata aliye soma veta kama akifaulu vizur anaweza kwenda diploma na kwenda mbele zaidi???????

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kijana, kwa mfumo wa sasa, kama huna sifa za kwenda form five hutaruhusiwa kwenda university. Unielewe. huyu anayekwenda veta ana ufaulu mdogo usiomruhusu kwendaA level!
 
Usipende kuwadanganya wenzako, hakuna haja ya kusoma QT iwapo umepata chini ya D4. Nimekupa link hata ufike chuoni kwao
VETA - BUSINESS OPERATIONS ASSISTANT - SIBM au piga simu wakueleweshe. Kumaliza UDSM 1986 ni juzi sana
Unajuaje labda niko Wiara ya Elimu na ndiye naratibu hayo... kumbuka humu JF hatujuani, usim underrate mtu! Kila kitu fanya kwa tahadhali humu JF.
 
Utachaguliwa. Kwakuwa hujachukua physics na mathematics hujapass ni vyema uende five tu. Ila ungepass mathematics na physics au chemistry ningekushaur usiende advance
Na mm mkuu nmepata div three ya 23
History B
English C
Kiswahili C
Biology C
Civics C
Geography D
Mathematics F
Je naweza kuchaguliwa advance
 
Daah mzee wa masele..hapa ndipo ambapo marafiki mnatengana...mzee wa masele kama vipi kapige certificate au diploma ya mambo ya afya...uende mdogo mdogo mpaka uje uombe degree..sometimes shortcut ni nzuri pia
 
Wewe kijana, kwa mfumo wa sasa, kama huna sifa za kwenda form five hutaruhusiwa kwenda university. Unielewe. huyu anayekwenda veta ana ufaulu mdogo usiomruhusu kwendaA level!
Vigezo Vya Advance School Vimebadilika?? Ule Utaribu Uliotelewa March Mwaka Jana Ndo Unatumika Mpaka Sasa? Je Mwenye D4 Haendi Chuo?
 
Na mm mkuu nmepata div three ya 23
History B
English C
Kiswahili C
Biology C
Civics C
Geography D
Mathematics F
Je naweza kuchaguliwa advance
Hapo una KLF,HKL,HGK,HGE,EGM lakini za mbinde tena private. Umefeli hesabu na hauna kombi la ya sayansi
 
Vigezo Vya Advance School Vimebadilika?? Ule Utaribu Uliotelewa March Mwaka Jana Ndo Unatumika Mpaka Sasa? Je Mwenye D4 Haendi Chuo?
D4 unaenda chuo certificate. lakini huwezi kenda University kama una vigezo vya F5. Nimeweka waraka wa serikali humu
 
Back
Top Bottom