sacred wall
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 804
- 1,318
Mh, mbona fani zote hizo vijana wapo mitaani hata kujiajiri hawawezi maana products zao zimefurika mitaani! Udereva ndio kituko! Labda bodaboda ya pikipiki! Cherehani the cheap technology??? ndio usiseme, njoo tanga kwa mfano, unajua wadigo hawataki shule, kila mtoto wa kike ni cherehani!Angalia fani unayohis unaweza kuifanya kwa mapenzi yote,,,
Mfano
Ujenzi
Geleji
Udereva
Fundi cheleani means nguo nae anapiga hela vizur tu.
Fundi,
Kazi za viwanda,
Mengine fanya kudatilia kama utachukua maamuz ya kudili na veta.
Sent using Jamii Forums mobile app