msaada.. nimehackiwa kwe email yangu

Makumbusho

Member
Nov 6, 2010
23
1
wakuuu naombeni msaaaada tafadhali..... kuna mtu ameihack email yangu ya yahoo... amebadilisha kila kitu from my password, security question na altenative email niliyoiweka.... nashindwa kujielewa nifanyaje maana email zangu zote za kiofic na binafsi zipo humo......
 
Click "I can't access my account" kwenye sehemu ya kulogin chagua "My account may have been compromised" kisha fuata hatua. Ikishindikana hiyo ndo basi tena tengeneza email mpya waarifu watu kuwa original imekuwa hacked, badilisha account zote ambazo umesignup na email iliyokuwa hacked.
 
Pole sana inategemea ulikuwa unawasiliana na watu wa aina gani? Maana yahoo ipo monitored na CIA hiyo kama ulikuwa unamawasiliano yanayoashiria ubaya kwao sasa hivi wanazifunga account za aina hiyo!!

Fatilia yeyote anaejua jua email na pasiwedi yako huenda kakufanyia umafia!!

Yote kwa yote kila siku tunawashauri kuwa usifungue kila email unayotumiwa nyingi zina software inayoitwa spyware, ukifungua tu email yenye software hiyo ina reply kwa aliyetuma "email yako na passiword" mpaka hapo yeye anakuwa na uwezo wa kuicontrol hiyo account bila chenga kabisaaaa!

Pole sana wacha niingie chimbo kutafuta software ya kuzirudisha nitakujuza nikishaipata!!
 
Jaribu kutafuta mtu anaetumia ubuntu maana hata mimi ilikuwa inatokea kwangu nadhani ubunt ina uwezo zaidi, walinisaidia jamaa wa open university (kwa malipo)
 
Jaribu kutafuta mtu anaetumia ubuntu maana hata mimi ilikuwa inatokea kwangu nadhani ubunt ina uwezo zaidi, walinisaidia jamaa wa open university (kwa malipo)

Ehh? Ubuntu haiwezi kumsaidia katika hili.
 
Jaribu kutafuta mtu anaetumia ubuntu maana hata mimi ilikuwa inatokea kwangu nadhani ubunt ina uwezo zaidi, walinisaidia jamaa wa open university (kwa malipo)
Nadhani umeshindwa kuelewa tofauti kati ya client na server.

Hapa haijalishi computer yako (client) ni PC au Mac na wala hajalishi unatumia operating system gani. kwahiyo kutumia ubuntu haitasaidia, tatizo liko kwenye authentication ya yahoo server.

wakuuu naombeni msaaaada tafadhali..... kuna mtu ameihack email yangu ya yahoo... amebadilisha kila kitu from my password, security question na altenative email niliyoiweka.... nashindwa kujielewa nifanyaje maana email zangu zote za kiofic na binafsi zipo humo......
Chakufanya ni kuwaandikia yahoo kwenye hii anwani account-security-help@cc.yahoo-inc.com uwaelezee lakini wakati mwingine kwenye maswala kama haya ni bora uwapigie simu (1-408-349-1572 ) yahoo wenyewe uwaeleze tatizo lako. Hii itasaidia kukuamini kwasababu ya kusikia sauti yaho. Sijui upo wapi lakini uwetayari kusubiri kwa muda mrefu kabla ya kusaidiwa kwahiyo kwa kupuguza gharama tumia skype kupiga toll free number halafu uombe wa redirect kwenye account security department.

Hii ni toll free number yao:

1-800-MY-YAHOO end_of_the_skype_highlighting (1-800-699-2466)
 
Back
Top Bottom