MSAADA:Nimegundua tiba rahis ya nguvu za kiume kwa matunda

W

Willi mimi

Member
Joined
Apr 29, 2019
Messages
15
Points
45
W

Willi mimi

Member
Joined Apr 29, 2019
15 45
Habar tanzania
Asalaam aleikum
Tumsife yesu kristu

Nimekuja kwenu wakuu naitaji msaada juu ya ugunduz nilioufanya uliotokana na kukubwa na tatizo la nguvu za kiume lililotokana na kujichua na ulaji mbaya wa vyakula hivyo kupelekea uume kua legelege kuwai kukojoa kushindwa kurudia tendo kukosa hamu ya tendo na nk

Nilianza kuzunguka mahospitali kutafuta tiba bila mafanikio na kote huko nilikua naambiwa yafuatayo kula vizur sikupewa majibu mazur zaid ya kuambiwa kupa vvyakula vya asili,pia niliambiwa kunywa maji mengi sikuambiwa kias gan kama ni ndoo mbili au pipa au glass tano niliambiwa kula matunda sikuambiwa aina gan na mangap

Zoez pia niluambiwa nifanye sana sikuambiwa zoez ganna mda gan

Nikaingia field. Kufanya utafit ulionigharimu sana sana sanaaaaaaaaaaaa ilikua bado kidogo nikate tamaaaaa nikaanza na matunda nikayapata kua matunda manne nikichanganya nitapata nitrix oxide ambayo itatibu misulu na kupandisha hormone nikaweka kwenye namba kwa kila tunda yawe mangap na maji nikapata lita nne na zoez nikapata la pelvic floor exercise kwa ajili ya kukaza uume nikafanikiwa kupona so nikaanza kuyza formula tangu 2010 mpaka leo wrng wakapona ndoa nying ziksokolewa shuda zipo kwenye page yangu niliyoambatanisha picha niko hapa kuomba msaada nin nifanye nitengeneze dawa ya kitonge au maj maana formula yangu imefana sana kinatabibu mawasiliano yangu ni 0712505049

godimpare

godimpare

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Messages
1,780
Points
2,000
godimpare

godimpare

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2014
1,780 2,000
Kitonge au kidonge!? Kama kitonge kamua iwe maji ongeza ngano songa inakua kitonge, ila ila uko unapoipeleka katk form ingine utaiharibu ubora wake maana itabid iongezwe preservatives nyingine amabz ni sumu
 
jr.kiyn

jr.kiyn

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Messages
320
Points
250
jr.kiyn

jr.kiyn

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2013
320 250
kama ulikuwa na nia ya kutujuza, weka kila kitu hapa , weka formula yote hiyo.. otherwise utuambie hili ni tangazo la biashara.
Bila ya shaka ni tangazo la biashara labda tumshauri alipie kodi.....
 
Robidinyo

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
616
Points
1,000
Robidinyo

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2016
616 1,000
Kumbe ni kambhiasa msee
 
kijana13

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Messages
793
Points
1,000
kijana13

kijana13

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2013
793 1,000
Kwa Habari ya nguvu ya kiume. Uwe na tabia asubuhi kunywa Chai ya Tangawizi Iwe jadi yako. Tikiti maji Mara kwa Mara litaisha... Ila Kama unataka utibu kwa haraka changanya tikiti maji plus Tangawizi plus kitunguu swaumu kisha vyote Weka kwenye blender saga . hiyo juice unywe kwa asubuhi na jioini kwa wiki mbili Tatizo limeisha. MUHIMU ni kubadili utaratibu wako wa kula ndio utatatua Tatizo LA kudumu.
 
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Messages
11,325
Points
2,000
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined May 15, 2016
11,325 2,000
Umeharibu hapo Ulipohusisha Puli na kupungua Nguvu za Kiume!!! Hakuna ukweli wala ushahidi wowote kuhusiana na hilo.

Mimi nimegonga Nyeto kwa miaka 22 tokea nipo Shule ya Msingi, Sekondari, Advance, Chuo mpaka Nikiwa nimeajiriwa! Baada ya Miaka 22 ya kuwa Member wa CHAPUTA nikipiga Puli takriban kila Siku Nimeacha kupiga Punyeto Siku 3 kabla ya Ndoa yangu.

Hatimae Nimeowa nikiwa na kasi kama Usain Bolt na mbiyo! Niligonga Make wangu kwa Siku 24 mfululizo kwa Ratiba ya kugonga Usiku wa Mapema (2 to 3 usiku), Asubuhi (Saa 12) na Mida za Mchana kama saa 8 hivi Mpaka ananigomea katikati ya Mchezo.

Nilipumzika Kugonga kwa Mkewangu baada ya yeye kuingia Mwenye Menstruation (Period).

Yani licha ya kuwa Addicted na Puli lakini still kwa Kigonga nipo fiti kinyama.

Acheni kupotosha watu kuwadanganya kuhusu Puli na Vyakula! Visiwani (Zanzibar) watu hawana hizo Ratiba zenu za kiajabuajabu za Vyakula na Still Mtu ana Wake Wanne wote anagonga mpaka anatembea na Msuli tu kuharakisha Game wala husikii kulalamikia Nguvu za Kiume.

Kuna Watu hawali Huo Msosi munautaja kuwa bora Bali wanaishi kwa Ugali na Kachumbari tu lakini Anagonga kuanzia Goli 4+.

Nguvu za Kiume ukiwa unazo utabaki kuwa nazo tu! Na kama huna utabaki kuwa Huna tu! Haziongezwi wala hazipunguzwi na Chochote.
 
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
3,537
Points
2,000
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
3,537 2,000

Haha kwamba "energy can neither created no destroyed"?
 
Icon Special

Icon Special

Senior Member
Joined
Mar 14, 2019
Messages
164
Points
250
Icon Special

Icon Special

Senior Member
Joined Mar 14, 2019
164 250
Umeharibu hapo Ulipohusisha Puli na kupungua Nguvu za Kiume!!! Hakuna ukweli wala ushahidi wowote kuhusiana na hilo.

Mimi nimegonga Nyeto kwa miaka 22 tokea nipo Shule ya Msingi, Sekondari, Advance, Chuo mpaka Nikiwa nimeajiriwa! Baada ya Miaka 22 ya kuwa Member wa CHAPUTA nikipiga Puli takriban kila Siku Nimeacha kupiga Punyeto Siku 3 kabla ya Ndoa yangu.

Hatimae Nimeowa nikiwa na kasi kama Usain Bolt na mbiyo! Niligonga Make wangu kwa Siku 24 mfululizo kwa Ratiba ya kugonga Usiku wa Mapema (2 to 3 usiku), Asubuhi (Saa 12) na Mida za Mchana kama saa 8 hivi Mpaka ananigomea katikati ya Mchezo.

Nilipumzika Kugonga kwa Mkewangu baada ya yeye kuingia Mwenye Menstruation (Period).

Yani licha ya kuwa Addicted na Puli lakini still kwa Kigonga nipo fiti kinyama.

Acheni kupotosha watu kuwadanganya kuhusu Puli na Vyakula! Visiwani (Zanzibar) watu hawana hizo Ratiba zenu za kiajabuajabu za Vyakula na Still Mtu ana Wake Wanne wote anagonga mpaka anatembea na Msuli tu kuharakisha Game wala husikii kulalamikia Nguvu za Kiume.

Kuna Watu hawali Huo Msosi munautaja kuwa bora Bali wanaishi kwa Ugali na Kachumbari tu lakini Anagonga kuanzia Goli 4+.

Nguvu za Kiume ukiwa unazo utabaki kuwa nazo tu! Na kama huna utabaki kuwa Huna tu! Haziongezwi wala hazipunguzwi na Chochote.

Mmhh Huyu katoka wap eti jaman,,!!!??

Mbn mwongo Sana, Eti nimepiga puchu miaka 22 afu Bado nikawa niko fiti... Subutu !!! Tangu lini. ..!!!?? Hata mtoto mdogo ukimsimulia kuhusu punyeto atakwambia kuwa lazima ukiwa na mkeo utashindwa kupiga nyanga vizur, story za bunuwasi unatusimulia watu Wazima It doesn't make sense[/colour]
 
Forum statistics

Threads 1,315,265
Members 505,171
Posts 31,851,862
Top