Msaada: Nimefuta status WhatsApp lakini wana bado wanaiona kwenye simu zao

Wakuu naombeni msaada Kwa mwenye uelewa jinsi ya kufuta status na isionekane Kwa Yule aliyeiona na ambaye hajaiona. Jana by mistake nikapost picha ya mtoto mkali, nikaifuta immediately Ila cha kushangaza Wana bado wakawa wanaiona na wanareply, imeniletea majanga Sana hii issue.

Msaada wakuu
Sasa siwanatumia GB au Yo whatsup yenye antidelete
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom