Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 51,991
- 69,383
NOJe ninaweza kutumia mf GB whatsap nikasajili namba ambayo iko official whatsap bila ile yenye official kujifunga?
NOJe ninaweza kutumia mf GB whatsap nikasajili namba ambayo iko official whatsap bila ile yenye official kujifunga?
Kwa uelewa wangu huweziJe ninaweza kutumia mf GB whatsap nikasajili namba ambayo iko official whatsap bila ile yenye official kujifunga?
Kwa wanao tumia FM WhatsApp au GB WhatsApp ukifuta status wao wakiingia lazima waione kwanza, ila watajua kama umefuta sababu hua kuna alama.Wakuu naombeni msaada Kwa mwenye uelewa jinsi ya kufuta status na isionekane Kwa Yule aliyeiona na ambaye hajaiona. Jana by mistake nikapost picha ya mtoto mkali, nikaifuta immediately Ila cha kushangaza Wana bado wakawa wanaiona na wanareply, imeniletea majanga Sana hii issue.
Msaada wakuu
Braza nipe link hiyo nikaidownload mi ninayo GB whatsapp ila haina features kama hizoWatakuwa wanatumia whatsap zingine zile tofauti na official WhatsApp.
Mimi natumia GB WhatsApp hata ukifuta comment au status mimi nitaiona tu, na itanionesha kwamba hii ilifutwa.
Hiyo Haiwezekani nilishawahi jaribu nikashindwaJe ninaweza kutumia mf GB whatsap nikasajili namba ambayo iko official whatsap bila ile yenye official kujifunga?
Ila si ustaarabu mtu akifuta. Alafu wewe ukaendelea kutoa maoni..!Sisi wenye GB WhatsApp, Yo WhatsApp zetu ukikosea usifute tu bora uiache maana sisi hatupitwi na kitu, ukikosea hata ukifuta sisi tunacomment tuuuu
Hili ndo jibu, sie wenye moded whatsapp hata u hide status ili u view wewe na demu wako tu sie pia tutaona kama kawaida bila shida...Watakuwa wanatumia whatsap zingine zile tofauti na official WhatsApp.
Mimi natumia GB WhatsApp hata ukifuta comment au status mimi nitaiona tu, na itanionesha kwamba hii ilifutwa.
Hili ndo jibu, sie wenye moded whatsapp hata u hide status ili u view wewe na demu wako tu sie pia tutaona kama kawaida bila shida...
Kwann si salama mkuuKwa wanao tumia FM WhatsApp au GB WhatsApp ukifuta status wao wakiingia lazima waione kwanza, ila watajua kama umefuta sababu hua kuna alama.
NB: Hizi copy za WhatsApp si salama.
Hapo unaweza angalia status ya mtu bila yeye kujuaCheki iyo screenshot utaelewaView attachment 1772946
Ndio kama ana moded whatsapp anaona vizuri tu na anajua ulihide...We acha masihara hata mtu uki muh hide anaona kwani? anhh hamna haaf kwani watu wana matatizo gani si watumie WhatsApp za kawaida tupeane privacy sema iOS hamnaga hizo WhatsApp clones za ajabu
Mkuu hizi features zipo kwenye whatsapp ipiCheki iyo screenshot utaelewaView attachment 1772946
Ndio kama ana moded whatsapp anaona vizuri tu na anajua ulihide...
FmwattsapMkuu hizi features zipo kwenye whatsapp ipi
Hii ni ipi unatumia Mkuu ambayo hata akiku-hide unaona status yake?Hili ndo jibu, sie wenye moded whatsapp hata u hide status ili u view wewe na demu wako tu sie pia tutaona kama kawaida bila shida...
Ndio kama ana moded whatsapp anaona vizuri tu na anajua ulihide