Msaada: Nimefanya mapenzi na mwanamke Condom ikapasuka. Nimepima majibu yamekuja hivi

Waungwana mwenzenu Sina Aman kabisa ndoto zangu zangu zmeyeyuka nmekutana na DEMU nisiyemjua status yake nikamwita gheto akaja nikapiga na kondomu bahat mbaya ikapasuka bila kujua Ile kuchomoa hv nikagundua imepasuka hakika stress zikaanza usiku sikulala kabisaa Basi kesho yake nikajihimu kwenda dispensary kupima majibu yakatoka nipo negative

Daktari akashauri nimtafte huyo DEMU nimpeleke akapime lkn huyo DEMU akagoma yaan hata mawasiliano amekata kabisa na Mimi

Na leo nimefikisha masaa 50 yangu tulipo kutana.

MSAADA kwenye tuta jmn nimepagawa.

Majibu ya vipimo vyangu ni hiv apa nmeatach.

View attachment 1917287


Unataka kututambia kwamba unazo nguvu dume nyingi kiasi kwamba umeweza kuirarua ndomu??!!--- au siyo??
 
Watu wengi hawana elimu ya jinsi ya kuvaa kondomu ndio maana zinapasuka,kondomu ikivaliwa kwa kufuata maelekezo yake kupasuka ni ngumu mno.maelekezo huwa yanawekwa kwenye kiboksi cha kondomu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom