Msaada:Nimeandikiwa'Missing Results'kwenye matokeo yangu ya Diploma.

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
2,049
2,249
Habari zenu wadau..I hope mko poa,Kuna chali'angu mmoja tumesoma wote Arusha Secondary ila yeye hakuendelea A Level na aliishia tu Form4 akaamua kwenda chuo mwaka 2017,Ali'apply SAUT Mwanza akakubalika lakini alisoma kama mwezi mmoja tu akaugua ikabidi Aahilishe masomo,amekuja kupona na ku'resume masomo yake mwaka 2018mwezi wa10 kwa ngazi iyo ya Certificate'Cheti na kamaliza mwaka huu mwezi wa6,,Sasa Sasa juzi apa kaenda ku'apply ili kuendelea na Diploma na akaenda kuchukua matokeo yake kwa HoD wa Faculty yao akaambatanisha kwenye application form akamaliza,sasa jana kaambiwa majina ya kwenda Diploma yametoka ila NACTE wamemwandikia 'Missing Results'sasa haelewi ni kwanini matokeo hayapo akati alifata kule kwa HoD na ana GPA ya 2.7,Na akiwapigia Admission office wanamjibu shit tu hadi analia,Wanamwambia afatilie sijui wapi!?..Msaada wadau mwenye kujua cha kumsaidia uyu jombaa.
@NgarenaroBoy.
 
"Afatilie sijui wapi" ndo walivyomjibu mkuu?
Kuweni wapole msikurupuke maana mnaoneka wote mmepanic kiasi kwamba hata maelezo mnayopewa mnaona ni shit.
Kama inawezekana aende NACTE chap instead of phone call. Taasisi nyingi za serikali yetu swala la huduma kwa njia ya simu utakwama tu.
 
NACTE wanapatikana wapi mkuu?
 
"Afatilie sijui wapi" ndo walivyomjibu mkuu?
Kuweni wapole msikurupuke maana mnaoneka wote mmepanic kiasi kwamba hata maelezo mnayopewa mnaona ni shit.
Kama inawezekana aende NACTE chap instead of phone call. Taasisi nyingi za serikali yetu swala la huduma kwa njia ya simu utakwama tu.
Kaongea na watu wa idara yake wamemwambia wao shida yake haiwahusu,ila awacheki Admission na IT,hao wote wanamjibu shit tu.
 
Kwanza poleni kwa mkasa huu.
Lakini naomba kuuliza kwani matokeo ya wanaoomba diploma nayo yanapitia nakte?
Kuna chuo fulani niliuliza nikaambiwa huwa hayapitii nakte yanayopitia nakte ni wanaoomba degree na kisha kupewa AVN no. Kwakweli kwa kesi yako nashindwa elewa, tafadhali mnisaidie hapo utaratibu sahihi.
 
Daah yaan bro hata sijui..alaf ana wasiwasi anaeza achwa kudahiliwa kuendelea Diploma coz matokeo yake hayapo nacte,
 
Watu wengi wamemaliza cheti mwaka huu wengine mwez sept sasa kama wakiangalia matokeo yaliyokwisha fika nacte kwa maana hiyo wengi wa waliomaliza cheti mwaka huu itawalazimu wasubiri mwakani motokeo yao yakiwa tayari nacte.
 
Inauma sana mkuu.
 
Back
Top Bottom