Msaada nimeandikiwa vipimo hivi RPR na VCT ni vipimo gani

Ng'wanamalundi

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
684
1,000
Wakuu kama nilivoandika hapo juu nimeandikiwa hivo vipimo naomba mnifafanulie nivipimo gani hivo kwa kirefu

Sent using Jamii Forums mobile app
Haiingii akilini mwangu kwamba unakwenda kwa daktari, anamueleza matatizo yako, anakuandikia uende maabara kufanya vipimo, na wewe unatoka tu hapo bila hata kumuuliza afafanue, unakuja kwenye jamvi hili kutuuliza sisi maana ya maandishi hayo wakati wala hatujui kinachokusumbua. Huko serious na tatizo linalokukabili.
 
Depal

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
17,277
2,000
Mpaka dk anarecommend hivyo vipimo?!! Duh? Watu mnakulanaje aisee 😂😂
 
princess ariana

JF-Expert Member
Aug 19, 2016
6,152
2,000
amna nmecheka tu mnavyomjibu. bora angeingia Google mm pia nilipewaga majibu ya full blood picture nikaingia Google kujua yana maana gani, yakanitatanisha moja likawa kama nna dalili ya kansa nilichanganyikiwa nikaenda kwa docta akaniambia vitu vingine..lakini kihoro nilichokipata nadhani mleta uzi anaelewa kuliko mtu yoyote.. ndio mana nmecheka nikikumbuka zile stress
mkuu usicheke sana bakiza na kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,172
2,000
Haiingii akilini mwangu kwamba unakwenda kwa daktari, anamueleza matatizo yako, anakuandikia uende maabara kufanya vipimo, na wewe unatoka tu hapo bila hata kumuuliza afafanue, unakuja kwenye jamvi hili kutuuliza sisi maana ya maandishi hayo wakati wala hatujui kinachokusumbua. Huko serious na tatizo linalokukabili.

Mkuu nlienda kupima ngoma na magonjwa ya zinaa sasa ktk kadi ya magonjwa wao wameandika hivo alafu mihata skuagalia wakat naenda maabala so nimekuja kuagalia dokta kashanambia majibu nakunipa karatasi nkaja nikaingalia nshafika home maana alivonambia uko sawa nkaondoka zangu tu bila kuchek ile karatasi ya mjibu nkaja ionea nyumban...sasa wangne tushazoea HIV inaandikwa hivo ktk karatasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,172
2,000
Nmecheka kama mazuri

Mkuu majibu yangu ni VCT-negative RPR negative nimekuja soma majibu nikiwa home..maana baada ya kuambiwa na daktar mjibu yako hayana shida yoyote akanipa karatasi hata skuangalia nkaweka kwenye begi nkaondoka zangu..kufika home naangalia wameandika hivo siwangine tumezoea ukimwi inaandikwa HIV rapid test sasa skuona ktk hiyo kadi ndo nkawa najiuliza wamenipima vitu vingme nin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rowin

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
2,058

Umefanya la maana kuuliza, kusaidia wengine tutakao kumbana na hivyo vipimo.
Hongera kwa kujali afya yako, sio kila mu anajipeleka kwa Hiari kupima hayo makitu.
 
Nima Imma

JF-Expert Member
May 14, 2015
2,347
2,000
amna nmecheka tu mnavyomjibu. bora angeingia Google mm pia nilipewaga majibu ya full blood picture nikaingia Google kujua yana maana gani, yakanitatanisha moja likawa kama nna dalili ya kansa nilichanganyikiwa nikaenda kwa docta akaniambia vitu vingine..lakini kihoro nilichokipata nadhani mleta uzi anaelewa kuliko mtu yoyote.. ndio mana nmecheka nikikumbuka zile stress
Google sio sehemu ya kuuliza maradhi yani staki hata kukumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
princess ariana

JF-Expert Member
Aug 19, 2016
6,152
2,000
Mkuu majibu yangu ni VCT-negative RPR negative nimekuja soma majibu nikiwa home..maana baada ya kuambiwa na daktar mjibu yako hayana shida yoyote akanipa karatasi hata skuangalia nkaweka kwenye begi nkaondoka zangu..kufika home naangalia wameandika hivo siwangine tumezoea ukimwi inaandikwa HIV rapid test sasa skuona ktk hiyo kadi ndo nkawa najiuliza wamenipima vitu vingme nin

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungesoma majibu ya wana Jf ungekufa kihoro Btw Congratulation My dear Afya ni kitu chema
 
Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
19,515
2,000
Unakwenda kupima magonjwa ya zinaa.Itakuwa huwa unauza sana mechi hadi Dr anakuandikia ukapime ile ukweli ujulikane,kapime then na majibu yakitoka utuwekee hapa na utuulize yanamaaisha nini.
 
malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,172
2,000
Unakwenda kupima magonjwa ya zinaa.Itakuwa huwa unauza sana mechi hadi Dr anakuandikia ukapime ile ukweli ujulikane,kapime then na majibu yakitoka utuwekee hapa na utuulize yanamaaisha nini.

Mkuu soma vizuri nimejibu nilienda kwa hiari yangu majibu yalikua negative yako sawa nimeandika hivo sababu tukiendaga hospital ukipimwa ukimwi unaandikiwa HIV rapid test sasa kwenye kadi ya magonjwa sikuiona nimeona neno VCT ndo nkashangaa nkajua wamenipima vitu vingen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom