Msaada: Nime-reset simu baada ya kuweka WhatsApp, App hiyo haisomi majina

Di Ty

JF-Expert Member
Jul 11, 2014
574
1,000
Hard au soft reset? Tuanzie hapo kwanza.

Haya maisha bhana... kila mtu huwa yanamgonga kwa style yake.
 

Di Ty

JF-Expert Member
Jul 11, 2014
574
1,000
Fungua WhatsApp yako... Then hapo kwenye chats utakaona kale ka symbol juu pale...kapo kama rectangle lakini kamechongoka kidogo.
IMG_20190219_140445.jpeg


Haya maisha bhana... kila mtu huwa yanamgonga kwa style yake.
 

Di Ty

JF-Expert Member
Jul 11, 2014
574
1,000
Ukishakagusa hako ka rectangle itakuja hiyo option ya select contact... Itakuja na idadi ya contacts zilizopo kwa WhatsApp... Ukiona 0 contact rudi kwenye phonebook refresh kule...
IMG_20190219_140542.jpeg


Haya maisha bhana... kila mtu huwa yanamgonga kwa style yake.
 

Di Ty

JF-Expert Member
Jul 11, 2014
574
1,000
Kwenye previous step... Ukivigusa vile vidot vitatu kulia kwa hako ka rectangle... Zitakuja hizo option... Select refresh... Contacts zitaonekana tena..

Ila kama ulifanya hard reset... I think ni mpaka kuwe backup ya contacts kwa email unayoitumia...
IMG_20190219_140610.jpeg


Haya maisha bhana... kila mtu huwa yanamgonga kwa style yake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom