Msaada nime nunuwa kifurushi cha Dstv kwa kutumia Tigo pesa !!!

Sereni25

Member
Dec 14, 2018
78
90
Wakuu salam kwa wote nime nunuwa kifurushi cha DStv kwa kutumia mtandao wa Tigo pesa
Tangu juma tatu tarehe 3! Takribani siku 6 adi leo Tigo walichukuwa pesa yangu huduma ya Dstv sikupata kila nikipiga simu wana niambia baada ya masaa 24 utarudishiwa pesa au kuunganishwa hakuna walicho fanya adi muda huu inatia hasira bora ninge kula kuku na iyo pesa! Ninaomba kujuwa je huu mchezo ni mimi mwenyewe tu au kuna wengine wamekumbana na huu mchezo wa Tigo pesa!
na je ni fanye nini wanirudishie pesa yangu!!
 
Mkuu umeenda Tigo shop ya jirani?
Nime wapigia simu mkuu kila nikipiga wana niambia baada ya masaa 24!!
Asante kwa kuwasiliana na Tigo Huduma kwa Wateja, ombi lako limepokelewa, kumbukumbu namba PL344660439 .
 
Nime wapigia simu mkuu kila nikipiga wana niambia baada ya masaa 24!!
Asante kwa kuwasiliana na Tigo Huduma kwa Wateja, ombi lako limepokelewa, kumbukumbu namba PL344660439 .
Nenda tigoshop ya jirani na wewe achana na kupiga simu
 
Back
Top Bottom