Msaada: Nilifukuzwa kazi, sasa nahitaji mafao yangu GEPF

Huo ndo ukweli.Mimi nimetumikia miaka kumi na tano,sasa huu utaratibu mpya wa hifadhi ya jamii sielewi kuwa utanihusu maana niliondoka huko 2015.

Duuh... 15 years? Ulifukuzwa ukiwa rank ipi? 15 years means miezi 180! Hapa unastahili kabisa malipo ya pensheni mpaka kufa kwamujibu wa kanuni za uchangiaji. Una umri gani?
 
Haya mambo ni ya ajabu sanaa..yaani unachangishwa kilazima.
Ila kupewa unapewa kwa masharti magumu.
WAKATI HELA NI ZAKO.WAO WAMEKUWEKEA TU.
MTU akiacha kazi muhesabieni fungu lake apotee.maana sio msaada.
NI JASHO LAKE.
UMBWA NINYI.
 
Back
Top Bottom