Msaada: Nilifanya mapenzi na mwanamke akiwa kwenye hedhi, nikalala bila kujisafisha nikaamka nimebabuka korodani

Yaani hapo ni FUNGUSI unayo wewe mjuba... Dawa ni moja tu ndo huwa inaondoa hayo madude hizi zingine zinaweza kukugomea kabisa kutibu, najua huwezi kuamini ila ndo ukweli utapona kwa shilingi mia 600 tu hizo dawa za 3000 na 4000 binafsi zilinigomeaga zote....
........Nenda duka la dawa kanunue VITAMIN B COMPLEX vya 600 tu au hata 1000 kisha uwe unakunywa kutwa kamoja mara 3 (asubuhi, mchana na jioni) kila siku... hata week humalizi huo upuuzi unapona.......
 
Bila kuwachosha naomba niende moja kwa moja kwenye mada.

Kipindi cha nyuma kama miaka 6 hivi (2014 au 2015) nilimgonga wife akiwa katika siku zake. Kipindi hicho bado nilikuwa sijamuoa, ndio kwanza tulikuwa tunadate, ila tayari tulikuwa tuna mtoto maana nilimpa mimba akiwa anasubiria matokeo ya form four. Siku hiyo nahisi nilikuwa nimechoka hivyo baada ya kumgonga nikaona uvivu kwenda kuoga au ile kunawa tu hivyo nikalala hivyo hivyo mpaka asubuhi.

Kilichotokea, baada ya kuamuka asubuhi nilikuta mapumbu yameungua, yaani kama vile nimeungua na maji ya moto, yaani ngozi ya pumbu imebabuka, hapo ndio nikagundua kumbe damu inaunguza. Si unajua damu lazima itapakae kwenye pumbu. Nilikaa kama siku mbili au tatu hivi nikiwa natoa yale magamba ya ngozi yaliyobabuka, baadae nikawa nahisi nimepona ila nikawa naona kabisa haya mapumbu hayako sawa maana yalikuwa malaini, yale makunyanzi hayapo, imebaki ngozi laini kama vile mwanamke anayetumia mkorogo.

Sasa tatizo linalonisumbua ni kwamba tokea kipindi hicho hadi sasa hivi ile ngozi ya zamani (nyeusi ngumu ngumu) haijawahi kurudi effectively. Shida ninayopata kunapokuwa na joto sana huwa naiona ngozi (ya pumbu) inakuwa kama inachunika hivyo kupelekea kuuma (it becomes sore).

Naomba ushauri wadau kama kuna dawa yoyote naweza kupaka ili ngozi ya awali irudi.

By the way, kipindi kile wife alikuwa kigori kabisa, alikuwa form six hivyo nilikuwa nakamua non stop. Maana najua kuna watu wataanza kuponda kwanini nigonge kipindi cha bleed. Isitoshe kula mwanamke akiwa bleed haina madhara kiafya maana nilishakula mara nyingi tu. Shida nilikuwa sijui kama damu ikigandia mwilini inaunguza. Apart from that bleed haina shida wakuu.
Duh hivi mwanaume unaanzaje kumla demu akiwa bleed si laana hizo
 
W

sawa chafu, chafu chafu chafu chafu yaani unalala bila kuoga baada ya kugegeda? chafu chafu chafu wewe
 
Kumbu nae ulikuwa una mla ivoivo?? kuumbe ndo zako?? af nani kakwambia ile damu ni sumu?
 
Damu ilipokaa sana kwenye pumbu zako wakajitokeza bacteria ambao walishambulia eneo hilo hasa ukizingatia maeneo hayo ni laini na nirahisi bacteria kushambulia
ACha uongo!! hakuna Bakteria wanaoweza shambulia intact skin yenye Melanin!! labda fungus na hii inaambatana na kujikuna kwa sana!!....unadhani wote humu tumesomea UPE!
 
Bila kuwachosha naomba niende moja kwa moja kwenye mada.

Kipindi cha nyuma kama miaka 6 hivi (2014 au 2015) nilimgonga wife akiwa katika siku zake. Kipindi hicho bado nilikuwa sijamuoa, ndio kwanza tulikuwa tunadate, ila tayari tulikuwa tuna mtoto maana nilimpa mimba akiwa anasubiria matokeo ya form four. Siku hiyo nahisi nilikuwa nimechoka hivyo baada ya kumgonga nikaona uvivu kwenda kuoga au ile kunawa tu hivyo nikalala hivyo hivyo mpaka asubuhi.

Kilichotokea, baada ya kuamuka asubuhi nilikuta mapumbu yameungua, yaani kama vile nimeungua na maji ya moto, yaani ngozi ya pumbu imebabuka, hapo ndio nikagundua kumbe damu inaunguza. Si unajua damu lazima itapakae kwenye pumbu. Nilikaa kama siku mbili au tatu hivi nikiwa natoa yale magamba ya ngozi yaliyobabuka, baadae nikawa nahisi nimepona ila nikawa naona kabisa haya mapumbu hayako sawa maana yalikuwa malaini, yale makunyanzi hayapo, imebaki ngozi laini kama vile mwanamke anayetumia mkorogo.

Sasa tatizo linalonisumbua ni kwamba tokea kipindi hicho hadi sasa hivi ile ngozi ya zamani (nyeusi ngumu ngumu) haijawahi kurudi effectively. Shida ninayopata kunapokuwa na joto sana huwa naiona ngozi (ya pumbu) inakuwa kama inachunika hivyo kupelekea kuuma (it becomes sore).

Naomba ushauri wadau kama kuna dawa yoyote naweza kupaka ili ngozi ya awali irudi.

By the way, kipindi kile wife alikuwa kigori kabisa, alikuwa form six hivyo nilikuwa nakamua non stop. Maana najua kuna watu wataanza kuponda kwanini nigonge kipindi cha bleed. Isitoshe kula mwanamke akiwa bleed haina madhara kiafya maana nilishakula mara nyingi tu. Shida nilikuwa sijui kama damu ikigandia mwilini inaunguza. Apart from that bleed haina shida wakuu.
Mwanamke yeyote wa maana huwa anampangusa mwanaume baada ya Tendo. Huyo mke wako hajafundwa na hana adabu!
 
Damu ya hedhi ni uchafu najisi haifai kwa dini kumuingilia mwanamke akiwa na hedhi,na pia kiafya haifai kwa wote haswa mwanamke unampenyezea bacteria 🦠 Aisee genye gani mpaka kwenye midamu ya hedhi umepata stahiki yako,Wala usihalalishe ulichofanya damu ya hedhi sumu ndo maana paka anakufa mwanamke isipotoka ikarumdilana anaumwa.
 
Back
Top Bottom