Msaada: Nikiwa natafuta bao la pili katikati jogoo anasinzia mpaka napumzika

Nikiwa nafanya sex mara nyingi bao la kwanza huwa natumia dakika 46 but nikiwa round ya pili utakuta katikat ya game jogoo anasinzia mpaka nipumzike kidogo tena ndio mpango mzima sasa ni nini tatizo?
Nilichokiona watu mnabisha vitu msivyo vijua mbona ata mm la kwanza saa 1 linakwisha kila mwanamke niliyetoka naye lazima ana niambie natumia madawa ila sijawai kula dawa yeyote ndiyo jinsi nilivyo paka uwa nawaza ni tatizo au
 
Muda wote huo hamfanyi kazi?
Sex inahitaji dakika 30 tu Asubuhi na Jioni
Hayo mengine ni kukomoana tu
 
Aisee sasa ww ndo unajiona unatatizo sio km kweli unachukua mda 46 dakika pumzika baadae uendelee na hilo zoezi kwanza utajiumiza mwenyewe watu hawashindani na walipotoka tendo la ndoa almost nusu saa tu inatosha wengine hata dakika tatu hawafikishi.
 
kwa dakika 46 bao la kwanza ni uongo wa kiwango cha masters .labda ungesema bao la pili na kuendelea ningekubali...sasa kwakua umedanganya sikupi ushaur....kama ni kweli jiangalie unaelekea kua utakua haitoi mbegu tena
Jinsi ulivyocomment hapa niwazi kwamba kijana hu dhaifu sana....Dk 46 kitu ya kawaida sana kwa mwanaume wa shoka...sema alipaswa kupumzika tu kisha akaanza kupandia mzigo upya...nakubaliana na jamaaa...hata one hour anaweza fikisha kabisa akiweka mind yake sawa...
Walah...natamani kumjua mkeo apate hii kazi ajikojolee ka mtoto then uone kama utapewa tunda siku zinazofuata...

Kwa mhusika wa mada ukishapiga mzigo wa kwanza kwa dkika hizo ama above...najua lazima huyo binti atakuwa amekojoa mara kadhaa pia...so vuta pumzi mkuu...fakamia misosi hapo ndani rudi sofani ikibidi washa kideo cheki muvi....nakwambia lisaa alitapita jamaa atataka tena..sasa this time ukipandia hakikisha unapiga hiyo kitu barabara hata more than an hour...but kumbuka kumake it fun...make it fun...mtafika hata two hours mnakamuana
 
Tatzo watu mnavamia game hamjala chakula cha kutosha,wali mkavu alaf unategemea bao mbili
 
Nikiwa nafanya sex mara nyingi bao la kwanza huwa natumia dakika 46 but nikiwa round ya pili utakuta katikat ya game jogoo anasinzia mpaka nipumzike kidogo tena ndio mpango mzima sasa ni nini tatizo?
Hizo dk 46 ndiyo goli la kwanza lonatoka ni tatizo linalosababisha tatizo kwenye utafutaji wa goli la pili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom