kamikaze tz
JF-Expert Member
- Apr 29, 2017
- 232
- 174
Wakuu habari? Flash yangu nikiitumia kwenye simu ya iPhone inajiweka offline baada ya muda kidogo, yaani kila baada ya dakika 2 au3 inajiweka offline lakini nikiitumia kwenye computer au kwenye tv inakubali vizuri. Naomba Mwenye ujuzi wa hii kitu anisaidie,