Msaada: Nikinywa kinywaji cha barid jino linaniuma sana

CEYLON

JF-Expert Member
Dec 3, 2012
282
101
Habari wana jf!Kama title ilivyo,yaani nikinywa kinywaji chochote cha barid napata maumivu makali sana katika jino langu la mbele juu.Tatizo litakua ni nini?
 
Pole Sana
Dawa Ya Jino Bovu Ni Kung'oa Ila Sasa Wewe Nenda Hospital
 
hiyo ni dalili ya mwanzo ya jino kutoboka cha kufanya badilisha dawa ya meno tumia sensodyne protect and repair hali hiyo kitaalamu huitwa tooth sensitivty pia muone dentist alifanyie filling
 
Ahsante kwa ushauri

Mi yangu kuna kipind cha barid yalikua yanauma hatari yanafanya kama yanapasuka hiv dadeki maumivu usiku hulali ila nilikua natymia whitedn hile ya rangi nikabadili saiv hayaumi
 
Poleh maji baridi na moto sana si mazuri kwa meno

Tumia ya kawaida tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom