Msaada: Nifanyenye kujua kampuni imesajiliwa?

la fiducia

JF-Expert Member
Mar 13, 2016
212
168
Habari zenu wakuu?

Tafadhali naomba kujuzwa, ni hatua gani au njia gani naweza nikafanya ili kujua kampuni yoyote hapa Tanzania kama imesajiliwa? Na inatambulika na serikali?

Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom