Msaada nifanyaje kukausha hiki kidonda kwa hara ili niishi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada nifanyaje kukausha hiki kidonda kwa hara ili niishi?

Discussion in 'JF Doctor' started by G spanner, Aug 14, 2012.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Madaktari nilitokwa na kidonda cha homa kwenye lip ya chini ya mdomo ila balaa zaid kila nikinywa maji au kula chakula hiki kidonda kinalowa na kuwa kibichi na uwezekano wa kupona unakimbia nashindwa elewa kwamba au nisile na kunywa msaada wenu plz7!
   
Loading...