Msaada nianzie wapi kuwashitaki Airtel?

Makylina

Senior Member
Dec 15, 2014
145
225
Habari?

Naomba kuuliza utaratibu upi unatumika kufunga laini za wateja? Maana mi laini yangu imefungwa bila sababu za msingi yaan mtu mkishindwana na wahudum wa airtel mtaani basi yeye anakomesha kwa kufunga laini yako?

Laini yangu 0688614931 imefungwa na mhudumu wa airtel eti kisa tu tulizozana bar au kwenye bomba la maji
Kuna mhudumu wa airtel anatumia 0782898542 na 0755729882 huyu ni tapeli na mhuni anafanya lolote kwenye namba za wateja, anafungia na kufungua namba bila utaratibu pia anafanya swap na kufungua laini, kufanya pin reset hata bila uthibitisho wa mteja husika. Mfano ni namba yangu imefungwa na huyo mhuni.

Jana kafanya swap ya laini ya mzee namba 0684214899 (baada ya kugundua ina pesa eti akamwambia gharama ni (40000), bila hiyo pesa hampi laini na baada ya masaa 72 anasema atatoa pesa zote zilizopo humu.

Yote hayo anayafanya kwa njia ya magroup ya wasapu anayounda na kuunga watu hivyo huduma zote na utapeli huo anaufanya kwa njia ya magroup tu.

Please naombeni kama yupo mwanasheria humu tuwasiliane anisaidie

NATAKA KUWASHITAKI AIRTEL KWA KUNIFUNGIA LAINI YANGU PIA KWA KUTOA TAARIFA ZANGU KWA WATU WASIOHUSIKA MAANA ANATANGAZA KIWANGO CHA PESA ZILIZOPO KWENYE AKAUNTI YANGU.

Nisaidieni kujua wapi nianzie polisi au TCRA.
Asanteni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom