Ukiacha kazi kwa 24 hrs ndo hulipwi na badala yake wewe ndo unamlipa mwajiri mshahara wa mwezi mmoja.Ukiacha kazi kwa ukitoa notice ya mwezi mmoja unalipwa salary yako. Rejea Sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004.Kwa sheria ipi ya kazi ambayo uikiacha kazi unalipwa? Huo ni mtego Kama kweli kaambiwa hivo