GIPAMA
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 1,103
- 541
Wakuu,
Kuna bwana mdogo kaniomba ushauri, katika ofisi anayofanyia kazi ilionekana kuwa alitenda kosa fulani, akaandika barua ya kukana kosa hilo, ila ofisi ikasema imefanya uchunguzi ikabainika kuwa ni kweli kosa hilo alifanya (JAPO YEYE AMEKANA)
Sasa amepewa option mbili,
1. Aandike leo barua ya kujiuzulu (kuresign) ili apewe/alipwe na mshahara wake wa mwezi huu. Ama
2. Asubiri uongozi/mwajiri amuandikie barua ya kufukuzwa kazi, na akifukuzwa kazi hatapewa mshahara wake wa mwezi huu.
Wajuvi wa sheria, hizi optional mbili mnazionaje? Tumshauli nini huyu ndugu.......?
Asanteni.