GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,087
- 2,193
Habari za jumapili wanafamilia wa jf. Nina rafiki wa kike toka marekani. Amekuwa akinitumia zawadi mbarimbari laini mimi sijawahi hata kumtumia zawadijapo moja. Nimefikili na kuona ni wakati mzuri nami niweze kutuma zawadi yoyote lakin itajikita kwenye culture. Naombeni ushauri wanamitindo. Ni zawadi gani itafaa? Na kwa morogoro mjini nitaipata duka gani? Nawasilisha