Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,326
- 92,517
Wadau naomba mwenye uelewa na hili anisaidie ni nini kinafanyika, ni hivi kuna mtu ana uwezo wa kufunguwa simu yangu hata nikibadili password mbalimbali lakini yeye anaifunguwa bila shida.
Sasa naomba wajuzi mnielimishe simu yangu ameingizwa program gani ambayo mimi siioni inayompa yeye access ya kufunguwa simu yangu hata nibadiri vipi password? Na inavyoonekana hiyo program inampa access ya kuziona pia msg zangu, nimeingiliwa mwenzenu Maana sina faragha sasa.