Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 46,881
- 122,124
Huo ndio ubora wa Tele mkuu, kongole sana kwa kutambua.Nami natumia Telegram, ingawa sikufundishwa na yeyote. Nikajua ni njia ya KISHAMBA! Kuanzia sasa, nitakuwa ninajiamini kuhifadhi huko.
Smart4n yangu ilikufa, kuna kitu cha muhimu sana nilichokuwa nimekitunza huko, nilikuwa ninakihitaji, nilikipata kwa kuazima simu ya mtu, na kuweka namba yangu, nikakipata.
Nimeanza kuitumia tele tangu early 2015, maarifa mengine nimeyajazijazi humu kuhusu tele.