Msaada: Ni Power bank gani nzuri kwa simu yangu?

niraza

Member
Jan 16, 2016
10
4
Habari zenu wana jamii.
Nilikuwa Naomba kupata msaada juu ya hiki kifaa cha power bank.
Nataka kununua power bank.lakini sijui sofa gani nizitumie ili kupata iliyo nzuri zaidi Kwa simu yangu
 
99% ya powerbank mitaani ni fake/zina viwango vidogo. utakuta powerbank zinaitwa samsung, Apple, BMW, na majina mengi mazuri lakini uhalisia ni kwamba hata hayo makampuni hayatengenezi. powerbank nzuri tafuta za xiaomi build quality yake nzuri ya alluminium, hazipati joto ukizichaji na zinapochaji simu na wanaandika capacity halisi inayotoa na inayopotea kitu ambacho powerbank nyengine hawawezi kusema.

tembelea hii thread
Feedback Baada ya Kununua PowerBank na Ushauri Kwa Wengine

kuna jamaa anajiita high life Tanzania anaziuza
5200mah kwa 40,000
10400mah kwa 60,000
16,000mah kwa 80,000

zote zina fast charging
 
I can recommend Xiaomi 10000 mAh ni nzuri sana.Rangi zake kuna silver,gold na red.Ukishindwa kupata sehemu nyingine,let us communicate,I will help you for that.
 
wakuu mnaweza kutuelekeza kwa high life Tanzanian tunakoweza nunua xiaomi power bank natanguliza shukran.
 
99% ya powerbank mitaani ni fake/zina viwango vidogo. utakuta powerbank zinaitwa samsung, Apple, BMW, na majina mengi mazuri lakini uhalisia ni kwamba hata hayo makampuni hayatengenezi. powerbank nzuri tafuta za xiaomi build quality yake nzuri ya alluminium, hazipati joto ukizichaji na zinapochaji simu na wanaandika capacity halisi inayotoa na inayopotea kitu ambacho powerbank nyengine hawawezi kusema.

tembelea hii thread
Feedback Baada ya Kununua PowerBank na Ushauri Kwa Wengine

kuna jamaa anajiita high life Tanzania anaziuza
5200mah kwa 40,000
10400mah kwa 60,000
16,000mah kwa 80,000

zote zina fast charging
Asante Kwa msaada.nimeelewa
 
Back
Top Bottom