Msaada: Ni Kweli hizi kauli katamka Mkuu?

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Oct 19, 2014
5,528
6,085
Wasalaam wanajamvi!
Katika pitapita yangu uswahilini nikasikia vijana wanasema kuwa mkuu kasema tukionekana mpaka July mjini basi sisi tutakuwa vidume kwelikweli maana msoto unakuja zaidi ya huu,pia nikasikia kuwa Mkuu amesema Nguo zikitubana tusigawe maana kuna uwezekano wa kuja kuzivaa tena badae,daa nimeshtuka kweli kweli maana kuna viwalo nilitaka kumtumia bwana mdogo kijijini na yeye akaendelea kuvimalizia baada ya kuwa vinanibana ilibidi niahirishe kwanza,wakuu nipeni uhakika hivi ni kweli baba ''mkuu'' katamka hivi?
 
Umeharibu maana halisi ya neno 'mkuu' kwanini kumwita mkuu hadi bwana yule?
 
Back
Top Bottom