Msaada: Ni kozi ipi yenye soko nisome kwa sasa?

Radhiamry

Member
Jun 8, 2021
13
2
Habari za majukumu,

Jaman nnaomba ushaur course ip itakua nzur kwang kusomea na yenye soko kwa sasa nmemaliza katika mchepuo wa egm nilikuwa naiwaza architecture na mambo kuhusiaana na aardhi lakini nikaambiwa kwa now ntasota sana nikisomea hvyo naombeni ushaur wenu please.
 
Hakuna kitu msoto na kinaumiza kama kusoma kozi kwa kufuata mkumbo wa ajira aisee.
 
Habari za majukumu,

Jaman nnaomba ushaur course ip itakua nzur kwang kusomea na yenye soko kwa sasa nmemaliza katika mchepuo wa egm nilikuwa naiwaza architecture na mambo kuhusiaana na aardhi lakini nikaambiwa kwa now ntasota sana nikisomea hvyo naombeni ushaur wenu please.
Kapige coz za biashara specifically accounts na finance, competition n kubwa sana lkn fursa zake pia ni nying na pana mno. But whatsoever decision you may go for, struggle to be the best of the bests hukos kaz n swala la mda2.
 
return on investment na payback period ya kozi za biashara n better kulko koz za science, hapa naongelea generally. Alafu bzness and related stuff imekua backbone ya sehem kubwa ya maisha ya binadam so unaeza pata picha kdg hapo. Ictoshe unaeza ku grow career wise na kufika mbali. But sijabeza koz za science kwakua kuna watu ndo zmewatoa pia. the choice is yours, ila weng hawanaga full details na kuja ku regret somewhere down the line.
 
Sema wewe unapenda nini kusomea, na siyo kozi ipi ina soko. Kumbuka unasomea kile upendacho. Soko ni wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom