koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,789
- 10,385
Ndg,wanaJF heshima kwenu popote pale mlipo naomba msaada wenu hivi ni kozi gani ambayo naweza kusoma ambayo ajira yake inapatikana kwa urahisi , nimesoma HGK nilitaka kusoma ualimu lakini naona huko tuendako arts hakuna soko tena, msaada wenu tafadhali, si vibaya mkanielezea kazi ambazo naweza fanya baada ya kusoma kozi hiyo tafadhali.