Msaada: Ni jinsi gani naweza trace/track namba ya mtu

Danpol

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
5,682
8,809
wakuu habari zenu

Ni jinsi gani naweza trace/track namba ya mtu na kutambua sehem mtu/mmiliki wa namba husika alipo/alipo kuwepo (kama atakua hayupo hewani) , either kwa kutumia app au njia yeyote ile

Msaada tutani
 
kwa tz hii kitu ni magumashi maana kwanza mitaa mingi haitambuliki kwenye google map
 
kwa tz hii kitu ni magumashi maana kwanza mitaa mingi haitambuliki kwenye google map
nimejitahd kwel kweli... inachofanikiwa kutambua ni "area code" pekee yaan 255... mengine haiwez
 
Back
Top Bottom