Msaada: Ni ipi shule nzuri ya wasichana kwa mikoa ya Dar au Pwani?

guzman_

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,255
2,073
Salamu wakuu

Wataalamu naombeni mwenye kujua shule nzuri na affordable hapa Dar es Salaam au pwani ya wasichana.

NB Mtoto kasoma shule za serikali St. Kayumba

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom