Msaada: Ni ipi bei elekezi ya gas?

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,039
2,199
Ndugu wana jf,nina mtungi wa gas wa oryx(6kg).huwa naujaza kwa Tsh 15000 .naomba kujua bei elekezi ya gas kwa kg 1.
 
jack hata mie nina tatizo hilo imagine mie nanua 15 kg kwa sh 45000 hapa mbeya kweli tutafika?
 
jack hata mie nina tatizo hilo imagine mie nanua 15 kg kwa sh 45000 hapa mbeya kweli tutafika?


endeleeni kuvuna miti tu labda watapata akili ! ndo ujue hata tukipata mafuta nchi hi tutauziwa sawa na sasa hi ndo Tanzania zaidi uijuavyo
 
What precaution should we take when using gas-cooker?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom