Jackbauer JF-Expert Member Oct 28, 2010 6,038 2,199 Nov 23, 2010 #1 Ndugu wana jf,nina mtungi wa gas wa oryx(6kg).huwa naujaza kwa Tsh 15000 .naomba kujua bei elekezi ya gas kwa kg 1.
Ndugu wana jf,nina mtungi wa gas wa oryx(6kg).huwa naujaza kwa Tsh 15000 .naomba kujua bei elekezi ya gas kwa kg 1.
N Newvision JF-Expert Member Nov 9, 2010 446 29 Nov 24, 2010 #2 jack hata mie nina tatizo hilo imagine mie nanua 15 kg kwa sh 45000 hapa mbeya kweli tutafika?
araway JF-Expert Member Sep 26, 2007 534 144 Nov 24, 2010 #3 Newvision said: jack hata mie nina tatizo hilo imagine mie nanua 15 kg kwa sh 45000 hapa mbeya kweli tutafika? Click to expand... endeleeni kuvuna miti tu labda watapata akili ! ndo ujue hata tukipata mafuta nchi hi tutauziwa sawa na sasa hi ndo Tanzania zaidi uijuavyo
Newvision said: jack hata mie nina tatizo hilo imagine mie nanua 15 kg kwa sh 45000 hapa mbeya kweli tutafika? Click to expand... endeleeni kuvuna miti tu labda watapata akili ! ndo ujue hata tukipata mafuta nchi hi tutauziwa sawa na sasa hi ndo Tanzania zaidi uijuavyo
Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,323 18,793 Nov 24, 2010 #4 1kg = 2500....do you have the mtungi of kilo 1?
Jackbauer JF-Expert Member Oct 28, 2010 6,038 2,199 Nov 24, 2010 Thread starter #5 Preta said: 1kg = 2500....do you have the mtungi of kilo 1? Click to expand... hivi hiyo ndo bei ya Ewura au?unajua nilisikia mtangazaji wa radio akisema 250/kg nikahisi nimeibiwa sana.
Preta said: 1kg = 2500....do you have the mtungi of kilo 1? Click to expand... hivi hiyo ndo bei ya Ewura au?unajua nilisikia mtangazaji wa radio akisema 250/kg nikahisi nimeibiwa sana.
Uda JF-Expert Member Nov 27, 2010 811 624 Dec 29, 2010 #6 What precaution should we take when using gas-cooker?
H Haika JF-Expert Member Mar 3, 2008 2,348 559 Dec 29, 2010 #7 jackbauer said: hivi hiyo ndo bei ya Ewura au?unajua nilisikia mtangazaji wa radio akisema 250/kg nikahisi nimeibiwa sana. Click to expand... tafadhai tuhakikishie kama ni kweli umesikia ulianzishe!!!!
jackbauer said: hivi hiyo ndo bei ya Ewura au?unajua nilisikia mtangazaji wa radio akisema 250/kg nikahisi nimeibiwa sana. Click to expand... tafadhai tuhakikishie kama ni kweli umesikia ulianzishe!!!!