MSAADA:NI internet download manager (IDM)software ya kudownload videos and Audios!!!


MtuMmoja

MtuMmoja

Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
98
Likes
3
Points
15
MtuMmoja

MtuMmoja

Member
Joined Aug 30, 2011
98 3 15
Wana JF naomba msaada katika hili,IDM inataka serial keys ili uendelee kui enjoy!cha ajabu kila nikizipata wanasema "the serial keys are fake" naomba msaada mana nimeshajaribu,ukiinstal wanakupa "Trial" i mean 30 days! naikuballi mana iko speed kudownload!!
 
Pianist

Pianist

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2010
Messages
601
Likes
51
Points
45
Pianist

Pianist

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2010
601 51 45
install upyaingia kwenye run andika regedit kisha tafuta registars za idm zidelete. hii ikishindikana google download idm with crack kisha fuata maelekezo
 
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
975
Likes
50
Points
45
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
975 50 45
ok simple fuata hizi procedure zangu nime attach patch ui download apa Patch Snd.zip

Then sasa funga(close) internet download manager yako... ukishadownload iyo file

-extract

-fungua SnDk&p.exe

-Click Clear previous regestration data

-Click Patch server check.. alafu itafunguka window sasa browse to c:/Program files/Internetdownloadmanager/mpaka utaona idm.exe then

chagua.

-Sasa itakuambia patch successfull... then copy iyo serial... Fungua internet donwload manager then nenda Registration na jaza jina, email

yoyote tu alafu paste iyo serial uliyo copy... Then Viollla kama umefuata procedure fresh utafanikiwa na itakuwa registerd forever ikitoka

version mpya just do the same procedure patching it.
 

Forum statistics

Threads 1,237,806
Members 475,675
Posts 29,301,703