Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,669
Wasalaamu...Ndugu wana Jf naomba tusaidiane,kuna jamaa yangu yeye ana elimu ya kiwango cha Masters...lakin kutokana na uhaba wa ajila alitumia cheti cha degree kupata kazi...amepata na anaendelea vizuri na kazi zake,na mwajili wake(Serikali) hajui kuwa jamaa ana Masterz,je uko mbeleni atatumia utaratibu gani ili kiwango chake stahiki cha elimu kijulikane?na je atastahili kuongezwa mshahala kwa kiwango cha elimu yake iyo ya Masters?ye hana shda ya cheo kwa sasa..yupo radhi abaki ktk level hiyohiyo lakn Salary iwe kulingana na elimu yake hapo baadae...MSAADA KWA WANAOFAHAMU TAFADHARI.