Mashine ya kilimo cha umwagiliaji

Mashine yangu haijawahi kizima zaid ya mafuta kuisha, afu nimwaga oil mara moja tu, bado imara sana ata warrant yake itaisha by august..
 
Chukua pump ya mchina tu. Affordable price and easily oparated.
Chukua HP 5.5/6.5 WARRIOR 3". Price range 250-300k, delivery pipe 30metres-100metres(full length @200k) plus in-let pipe (depends how far/deep your pond or inclination from the source) but its price ranges frm 10k-15k@ft.
Hope you got some hits mkuu!
 
Kama una m1.5 waweza funga solar pumps. Hii ni jumla na panel. Ukitaka na battery ni kama 2m. Mi natumia hizi solar pump kwa kilimo na zinanisaidia sana. Katika umbali wa 200m napata 40ltr per minute. Slope 3m.

Umwagiliziaji ni rahic maana natumia horse pipe za nch 1.
69168e9968d3a3c9ff8ca04780babf1a.jpg
 
Asante kwa wazo zur
 
Asante kwa ushauri
 
Kama una m1.5 waweza funga solar pumps. Hii ni jumla na panel. Ukitaka na battery ni kama 2m. Mi natumia hizi solar pump kwa kilimo na zinanisaidia sana. Katika umbali wa 200m napata 40ltr per minute. Slope 3m.

Umwagiliziaji ni rahic maana natumia horse pipe za nch 1.
69168e9968d3a3c9ff8ca04780babf1a.jpg
Nimeipenda hii rfk

Unamaanisha cha drill au
 
Msaada wa anayetambua vyema ubora wa aina za mashine za umwagiliaji wa bustani.
Vigezo
Gharama isizidi 350,000
Inauwezo wa kusukuma maji umbali M150
Haitumii mafuta mengi
Inauwezo wa kukaa mda mrefu bila marekebisho.
Karibuni
 
Niliwahi kuambiwa na muuzaji wa pump kuwa Kuna machine zinaitwa JD zipo vizurisana ingawa yeye hakuwa nazo, na nikaja kuambiwa na mkulima ambaye yeye anazitumia, jaribu kufuatilia hizo huwenda zkakufaa.
 
Back
Top Bottom