Kurasini mkabala na ofisi za mamlaka ya bandari. Ukifika karibu kwenye round about pale mbele ya ofisi za BP Kurasini chukua njia ya kushoto inayoelekea bandarini badala ya kuendelea na Barabara ya Kilwa
Umedanganya bila kujua kuwa zimeshahamishwaZipo NIC Life House mtaa wa Sokoine Drive. Ni karibu na sukari house
exactly hapo ndipo zilipo mkuuu!Kurasini mkabala na ofisi za mamlaka ya bandari. Ukifika karibu kwenye round about pale mbele ya ofisi za BP Kurasini chukua njia ya kushoto inayoelekea bandarini badala ya kuendelea na Barabara ya Kilwa