Msaada neno odds maana na matumizi yake

mwisho2016

JF-Expert Member
Jun 27, 2016
724
625
Heshima kwenu wanajukwaa

Omba hela, omba chochote kitu waweza nyimwa.....lkn mgaagaa na upwa haliwali mkavu

Nianze kuomba wale wanaojua kujibu fyoko...waendeleee sisi hatutochi hatupoi kujifunza

Neno odds limenitesa sana msaada kwa wajuzi

asante
 
Kwa kiswahili ni TABIA MBAYA.
Lakini pia sijajua limetumika wapi kwasababu kwa kiingereza Lina maana nyng.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Odds - ni posibility ama uwezekano wa tukio flani kutokea.

Odd - isiokubalika
 
Back
Top Bottom